Habari wana jamvi, wapendwa naombb ushauri, nilikutana na mkakamoja mmoja , siku hiyo nilikuwa kifield sana, nishapigwa na vumbi nilikuwa mchafu kidogo, rasta zimejaa vumbi, nimepiga kombati . Basi tukawa tunakuta sana kikazi.Tumeanzisha uhusiano ila hapendi nivae tofauti na field kila siku anataka nisuke rasta,makombati hakuna hata kujipodoa kidogo, hata nikiwa nje ya field yani nakwazika. Nisaidieni kumwelewesha wanajamvi. Asanteni.