samahani wakuu, naomba kumnukuu mdau huyu toka mtaa wa jirani.....
"Kwako brother Michuzi,Naomba unirushie haya machungu yangu,...............
Naona serekali kuona vyote hivyo sasa tunatakiwa kuwa na sticker ya Fire, hizo windscreen zipo kwa ajili ya kujaza sticker tu na kilicho kibaya gharama yake ni Tsh 20,000 kwa gari ndogo kama sio ufisadi huu ni nini tena niweke mtungi wa kilo moja gari yenyewe Toyota March kweli hii ni haki??
Wanachi wenzangu naombeni tusaidiane kwa hili, kama maisha bora kwa kila mtanzania ndio haya, tumekwisha!
wenzetu waipeleka nchi kubaya kila siku kesi mahakamani halafu zinaishia hewani na sisi tunaojitahidi angalau kidogo kitu tunazidi kubanwa. Basi boresheni usafiri wa jumuia ili tupande mabasi mbaki na magari yenu. Kesho na kesho kutwa tutaambiwa watu wa FIRST AID naona wanataka magari yote yawe na KIT na sticker zipandikwe kwa gharama wanayotaka wao.
This is too much jamani...........
tunaelekea wapi?????????
nisaidieni ndugu zangu
WENU
DaimaFuraha"

- hivi kabla ya kupewa hizi stika si askari anatakiwa kukagua kama unao huo mtungi wa kuzimia moto???
- si inatakiwa pia kuukagua huo mtungi kama unakidhi mahitaji kulinganisha na gari husika???
- sasa inakuwaje zinauzwa kama njugu bila kufanyika ukaguzi wowote??
- haka kamradi kana manufaa yapi na kanamfaidisha nani?
- iweje basi upewe stika leo October ambayo validity yake ni mwaka mmoja, lakini ziishie mwezi juni mwakani?!
- kama kuchelewa kuzitoa/kupitisha hiyo sheria sijui muswada kwa nini mimi mwananchi niadhibiwe kulipia huduma ya mwaka mzima then niishie kupata huduma hiyo kwa miezi michache?