Finally,nimeamua kufunguka....

aliyekwambia uitoe ni nani naomba uiweke haraka iwezekanavyo kabla sijakuchulia sheria , katika kifungu no.5 ibara ya 50 fanya haraka kurudisha hapohapo ulipokuwa haraka tena sasa, nisije unda TUME hapa
ilikuwepo hapo juu,nimeshaitoa
 
Kaka, kama unafahamiana na wakongwe wote hao wa JF na hasa wadada si wakupe network zao. Wao wanakufahamu na wanawafahamu watu wao si watakuunganisha na mtu wa aina yako huko kitaa. Humu JF alibahatika MadameX kumpata afande. Na ametuliaje siku hizi hata thread anachangia kwa shida. Wakabe hawa watu8 MadameX Chimbuvu nitonye Pipi lara 1 Amoeba Judgement Zinduna MziziMkavu AshaDii neggirl C6 Arushaone Bigirita Bishanga Bujibuji figganigga madameb sweetlady St. Paka Mweusi Nicas Mtei wakuoneshe wadada wa aina yako. Kila la kheri
 
aliyekwambia uitoe ni nani naomba uiweke haraka iwezekanavyo kabla sijakuchulia sheria , katika kifungu no.5 ibara ya 50 fanya haraka kurudisha hapohapo ulipokuwa haraka tena sasa, nisije unda TUME hapa
Sasa mbona unnamchanganya? we si ulisema huoni kwanini amekutaja? sasa anatoa unataka arudishe? jibu swali hili: Unamkubali snochet kama member wa familia yako hapa JF? (Yes I do au No I don't, lol)
 
Last edited by a moderator:
Ujue unanichanganya siku hizi lakini, yaani umeamua kuwa binti mrembo
Acha ile ulikuwa unaongelea
avatar17204_18.gif

Teh teh..Hii avatar hii!! Haya nimekusikia.
 
Ila sasa wewe na shem mkikosana siwezi kua na confidence ya kukusemea maana makosa yanaweza kua kwako kiukweli. lol

Ha ha ha ha! Kama ulijua vile! Nikikaa mwezi mzima bila ya kumtibua anaboreka.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
snochet ni mdogo wangu na rafiki yangu wa karibu sana. I am sure he will make his friend/girlfriend a happy woman. He is a VERY sensitive person, available and ready to help. He is honest and he holds values that most of us would want to see in a brother/a man. He is moderate in most of his believes and quite open to different thinking. He is curious and tolerant. He is very smart and holds structured arguments in his discussions with me, which makes him one of the best companies I have. Tunapishana kwa dini na siasa but this has never been a problem and far from dividing us it has helped me understand better christianity and Chadema. Likewise, na yeye amegundua mengi kupitia maongezi yetu.
Although we don't live in the same town we communicate very often. I really hope he will find a girl who deserves him. Good luck hun, I am sure atajitokeza mmoja atakae meet expectations zako.
Makofi kwako tafadhali......:A S 41:
Hapo akikosa tena, akaoge na maji yenye ndimu na magadi soda.
 
Sasa mbona unnamchanganya? we si ulisema huoni kwanini amekutaja? sasa anatoa unataka arudishe? jibu swali hili: Unamkubali snochet kama member wa familia yako hapa JF? (Yes I do au No I don't, lol)
Mwali.......I am smelling something here.....!!!
 
Saasaaaaa!!!! snochet..............vipi bana, mbona unaweaka masharti kabla ya kumpata.
Ulitakiwa uwasiliane na sisi kaka zako kwanza tukushauri.....!!
Unataka yeye aongee na wewe deile, au wewe uongee nae deile?
Unataka yeye akae karibu na wewe au wewe ukae karibu na yeye? Na kwa nini......ili uwee kwenda kula dudu kirahisi rahisi bila kuingia gharama kubwa au?

CC: AshaDii

halafu wewe.....kwanza na mimi natafuta kidume.....hebu rekebisha hii maneno......
cc: Asprin..... Teamo..... Kimey..... Kaizer.... PakaJimmy..... fidel......@RR......et all.....
 
Last edited by a moderator:
hivi.....unawezaje kucheka wakati mwenzio nipo serious nikitafuta mupenzi.......?
Hebu nibadilishie mwandiko huko. Mi pata tabu kusoma wewe......

Afu hebu niambie yule akaunta wa pale Rest In Peace bado yupo?

Mwambie June siyo mbali eti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom