Filamu:black mail

22nd

JF-Expert Member
Aug 1, 2010
495
137
baada ya kukerwa kwa kiwango kikubwa na haya maigizo ya bongo(what so called movie) at last nimeona igizo moja ambalo kidogo lina mabadiliko, so interested to watch,japo kuwa still kuna part one na two.
kwa wale wanaopenda haya maigizo, na kama haujaona hiyo black mail ninapendekeza
uitizame
Browse Moviess on All African movies in One Place
 
Nitafuatilia. Hata hivyo bado nafanya kosa kwa kuwa still niko negative sana na sinema ninazoziona sasa hapa bongo. Zinachezwa sebuleni muda mwingi na stori zenyewe ni zile zile za binti mwenye tabia mbaya kuishia pabaya na watu wa madawa ya kulevya kukamatwa na polisi. Nakerwa sana na part 2s. Nakerwa sana na movies nyingi ambazo zimejaa mambo ya mahusiano tu. Nakerwa sana pia na tamthilia za Amerika ya kusini kwa kuwa nazo zimejaa utoto mwingi japo wanachagua watu wenye mionekano ya kuvutia. Sitajadili hili leo.

Well, najaribu kuandaa filamu ambayo nadhani inaweza kuwa tofauti. Nitairelease baada ya kama miaka miwili hivi. Nikishindwa kufikia level nayotaka nitasalimu amri.
 
3D niko na wewe mzee kila movie ya Bongo nikianza kuangalia tu najua itaishia vipi, hii ni Nigerian style mkuu is too low...nimejaribu kuangalia zote lkn b4 hata nifike 1 ya 100 nimejua nini mbele kitatokea...bado safari tunayo mazee...mie naandaa yangu pia niko mwaka wa pili sasa naandika...
 
hata hii ni vile vile inachezwa(sebuleni) ila kuna kautofauti kidogo(kidogo sana) hata wewe ukiiangalia utaridhikapo angalau, hata kama umelipia hautalalamika ki hivyo
 
Back
Top Bottom