Fikiria kabla ya kujibu!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Poa nisiwakwaze wapendwa,acha nilbadili kama ifuatavyo:X^Y=Y^X and (X is not equal to Y),find the value of X and Y!
 
Nimefikiria sana, nataka kutoa jibu ila sioni swali
Samahani,'fikiria kabla ya kujibu' ni ujumbe kwa akina mama kama mama aisha wanaojibujibu maswali ya watoto wao bila kutafakari,sikuwa na maana ya swali kwa msomaji!
 
Samahani,'fikiria kabla ya kujibu' ni ujumbe kwa akina mama kama mama aisha wanaojibujibu maswali ya watoto wao bila kutafakari,sikuwa na maana ya swali kwa msomaji!

Bila samahani bosi, hivi ulisema nilete mtura ngapi vile?
 
Huyo aisha kama ni mdogo kihvyo amejuaje mambo ya kupata mimba?? Haijakaa vizuri bana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom