Field Marshal Mohamed Tantawi afukuzwa Misri

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Kamanda na mkuu wa Majeshi ya Misri aliyesimamia vuguvugu la mabadiliko yaliyomwondoa madarakani Hosni Mubarak wa Misri Field Marshal Mohamed Husein Tantawi amefukuzwa kazi na rais mpya wa Misri Mohamed Morsi leo.

Ikumbukwe huyu Tantawi aliunda na kuongoza baraza la kijeshi lililosimamia kuondolewa na hatimaye kumfungulia mashataka rais wa zamani wa Misri na mpaka anafukuzwa alikuwa waziri wa Ulinzi wa Misri.

Tantawi amefukuzwa pamoja na mkuu wa majeshi wa nchi hiyo ;Cheo cha waziri wa Ulinzi amekishilikia kwa kipindi kisichozidi mwezi mmoja.

Tusubiri nini baada ya hii fukuza fukuza kwani tunajua wazi Morsi kamsaliti mtu ambaye alimtengenezea mazingira ya kuwa rais.
 
Huyu hafiki hata december kwenye huo urais maana ana kiherehere sana
 
Always huwa nashindwa kuelewa nchi za kiarabu na wanaofanana nao (Somalis, etc.) huwa zinataka nini hasa! Tawala na watu wao sijui wanatakaga nini.
 
Mursi amefanya jambo la maana. Maana mapinduzi ya umma yalikuwa yametekwa na jeshi. Wanaoota kuwa Mursi hafiki Desemba hawajui kitu kuhusu wamisri na upiganiaji haki wao. Wanaodhani hivyo ni wachovu wa kitanzania ambao hawawezi hata kumwajibisha mwekezaji mmoja anapowadhulumu na kuwadhalilisha. Shame on these human sheep.
 
Waarabu sio watu..hebu ona hata sasa wameungana kabisa wanasomba silaha kwenda Syria kuua waarabu wenzao ili marekani apate faida..wajinga sana mm tangu wamsaliti Ghadafi sina haja nao...
 
Kamanda na mkuu wa Majeshi ya Misri aliyesimamia vuguvugu la mabadiliko yaliyomwondoa madarakani Hosni Mubarak wa Misri Field Marshal Mohamed Husein Tantawi amefukuzwa kazi na rais mpya wa Misri Mohamed Morsi leo. Ikumbukwe huyu Tantawi aliunda na kuongoza baraza la kijeshi lililosimamia kuondolewa na hatimaye kumfungulia mashataka rais wa zamani wa Misri na mpaka anafukuzwa alikuwa waziri wa Ulinzi wa Misri. Tantawi amefukuzwa pamoja na mkuu wa majeshi wa nchi hiyo ;Cheo cha waziri wa Ulinzi amekishilikia kwa kipindi kisichozidi mwezi mmoja.

Tusubiri nini baada ya hii fukuza fukuza kwani tunajua wazi Morsi kamsaliti mtu ambaye alimtengenezea mazingira ya kuwa rais.

Usipotoshe watu
Misri ni watu ndio walio leta mapinduzi
na huyu Tantawi alikuwa kikwazio cha 'mapinduzi ya kweli'
ameweka sheria na kujipachika kwenye serikali kinyume na matakwa ya watu
Wananchi wanataka 'mapinduzi kamili' na sio 'mapinduzi ya kuwa chini ya jeshi la Tantawi'
 
hajamfukuza ila amestaafisha kwa manufaa ya umma

Angeachwa kwenye uwaziri wa Ulinzi afurahie matunda ya mapinduzi. Mkuu huyu hajastaafishwa amepigwa chini bila hiari yake. yetu macho kuhusu mustakabali wa urais wa Morsi ambaye kwa mtazamo wangu anakwenda kasi mno
 
sababu kubwa iliyochangia ni yale mauaji ya askari kule sinai na kama waziri wa ulinzi kazi ilikuwa imemshinda
 
Usipotoshe watu
Misri ni watu ndio walio leta mapinduzi
na huyu Tantawi alikuwa kikwazio cha 'mapinduzi ya kweli'
ameweka sheria na kujipachika kwenye serikali kinyume na matakwa ya watu
Wananchi wanataka 'mapinduzi kamili' na sio 'mapinduzi ya kuwa chini ya jeshi la Tantawi'

Tukubali tusikubali kama jeshi lingemuunga mkono Mubarak dhidi ya nguvu ya umma mapinduzi yasingekuwa rahisi namna hiyo. Hebu oneni Syria ambako jeshi lime side na serikali na kuyafanya mapinduzi kuwa magumu. lazima tuweze ku-appreciate mchango uliofanywa na jeshi la Misri kuleta mapinduzi kwa kutoshambulia badala yake kuwaunga mkono waanzilishi wa mapinduzi. Ilikuwa lazima jeshi lisimamie smooth transition of power la sivyo ingekuwa anarchy na ktk huo mchakato naweza kusema ndipo pepo la tamaa ya madaraka likaingia ila mwanzo walianza vema.
 
Nchi za kiislam ni matatizo Matupu! Sijui waislam wenzangu wana matatizo gani!
Nchi nyingi zina vita, penye amani kama Tanzania, choko choko zimeanza...Dah!!
 
hv hichi cheo cha field marshal kinatolewa wapi,manake kwa upeo wng mdogo nasikia alikuwa nacho fidel castro tu na yeye cjui alipewa na nani na huyu tantawi naye kapewa na nani,hapo ndo nitajua kama kweli ni field marshal au kuruta
 
Tukubali tusikubali kama jeshi lingemuunga mkono Mubarak dhidi ya nguvu ya umma mapinduzi yasingekuwa rahisi namna hiyo. Hebu oneni Syria ambako jeshi lime side na serikali na kuyafanya mapinduzi kuwa magumu. lazima tuweze ku-appreciate mchango uliofanywa na jeshi la Misri kuleta mapinduzi kwa kutoshambulia badala yake kuwaunga mkono waanzilishi wa mapinduzi. Ilikuwa lazima jeshi lisimamie smooth transition of power la sivyo ingekuwa anarchy na ktk huo mchakato naweza kusema ndipo pepo la tamaa ya madaraka likaingia ila mwanzo walianza vema.

jifunze tena siasa za Misri
Tantawi ni lazima afukuzwe
'mapinduzi hayana kusubiri'
 
jifunze tena siasa za Misri
Tantawi ni lazima afukuzwe
'mapinduzi hayana kusubiri'

Mimi siyo mtaalam wa siasa za Misri lakini ni mfuatiliaji wa siasa za middle East sana. Hata kama mapinduzi hayana kusubiri kwa mtazamo wangu namwona huyu jamaa wa Muslim Brotherhood akielekea kuasisi siasa za imani kali; Timu ya akina Tantawi walikuwa moderate kiimani na mtazamo wa kimagharibi zaidi ambao Morsi hautaki.
 
msimamo kali ndo upi?
nini maana ya mapinduzi?
si wananchi waamue wanachotaka?
 
Back
Top Bottom