Elections 2010 FFU wachelewa Anatoglo...

:A S angry:...huyu semilong vp ghafla?
avatar14216_2.gif
 
JK atashinda kwa kishindo mnoooo...maana inaonekana KILA kituo matokeo yakitoka tu na CHADEMA kushinda, watu wanaingia kitaa kwa shangwe na vigeregere na kutelekeza lindo. Hii inawapa nafasi NEC kufanya mambo yao.

Nimeshakata tamaa kabisa na matokeo ya uRais

It is unfortunate truth!:A S angry::A S angry::A S angry:
 
sasa kama hayajatangazwa unasema vp tena chadema wanashangilia ushindi!!

mimi nilikuwa naelekea anatoglo, kufika kituo cha polisi cha lumumba magari ya polisi yakawa yanaelekea anatoglo mbio, walivyoona magari ya chadema (buses) zinatoka huku zikishangilia wale polisi waka stop. mimi katika jitahada zangu za kuuliza nikaambiwa wanashangilia ushindi wa mpendazoe.
lakini mimi sikusita nikawa naelekea anatoglo kupata uhakika zaidi nilivyofika pale nikakuta matokeo bado hayajatangazwa.

kesho nitaenda tena
 
Back
Top Bottom