Ferry carrying more than 470 people sank off South Korea - A major rescue operation is under way

Exorcist

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
1,236
1,257
A major rescue operation is under way after a ferry carrying more than 470 people sank off South Korea.

The ferry, carrying mainly school students, was travelling from the western port of Incheon to the southern resort island of Jeju. Two people had died and almost 180 more had been rescued, officials said. More than 100 people are unaccounted for.

A total of 34 naval, coastguard and civilian ships were involved in rescue efforts, as well as 18 helicopters.
Images showed the ferry listing at a severe angle and then later largely submerged, with only a small part of its hull visible.

Cause unclearBalanced on the sinking hull, rescue teams pulled the teenagers from cabin windows.
Some of their classmates jumped into the sea as the ship went down.

South Korean President Park Geun-hye had ordered coast guard commandos to search the ship so that no-one was left behind, Yonhap news agency reported. Navy divers were also reportedly on scene.

"A total of 179 people had been officially rescued as of 12:00 (03:00GMT)," Yonhap news agency quoted Lee Jae-youl, a Ministry of Security and Public Administration official, as saying.

_74263783_021929261reu.jpg


Dozens of passengers have been rescued but the fate of many others remains unknown

_74240847_02192918212.jpg





_74263615_southkoreajeju0414.jpg



One body, of a female crew member, had been recovered from the ship, the coastguard said.


It is not yet clear what caused the incident, but witnesses described hearing an impact, before the ship listed and quickly sank. One passenger told the YTN news channel: "We heard a big thumping sound and the boat stopped.

"The boat is tilting and we have to hold on to something to stay seated," the passenger said. Another passenger said the ship was "shaking and tilting", with people tripping and bumping into each other.

News agencies said the ferry had sent out a distress signal about 20km (12 miles) off the island of Byungpoong at about 09:00 local time (00:00 GMT).
Angry parents have gathered at the school in Incheon to demand answers, reports the BBC's Lucy Williamson in Seoul.

Earlier reports put the number of passengers on the ferry at about 350. The vessel is reported to have a capacity of up to 900 people.
 
"Meli ya korea kusini imezama ikiwa na watu 470 wengi wakiwa ni wanafunzi..miili ya wa2 100 bado haijapatikana na haijulikani walipo"

--------------------------------------------------------------------------------------


attachment.php

Oparesheni ya uokozi inaendelea kufuatia ishara za dharura zilizoripotiwa kutoka meli moja iliyobeba takriban abiria 460 katika pwani ya Korea Kusini.
Maafisa wanasema kuwa walinzi wa pwani hiyo wanatumia, meli za wanamaji wa Korea pamoja na ndege za uokoaji kuwaokoa watu waliokuwa katika meli hiyo.

Shughuli zinaendelea hivi sasa kuokoa zaidi ya abiria 460 wa ferry hiyo .
Jeshi la wanamaji likishirikiana na maafisa wanaolinda usalama katika bahari ya rasi ya Korea wanasema watu wengi wamefanikiwa kuolewa.
Maafisa wanasema walipokea habari kuwa meli hiyo imepata matatizo ikiwa imebeba idadi kubwa ya wanafunzi ikitoka Incheon iliyoko kwenye visiwa vya kifahari vya Jeju .

Waokoaji wamewanusuru tayari abiria 160 huku wengine waliosalia wakishauriwa waruke baharini iliwaokolewe.
Walioshuhudia wanasema kulisikika kishindo kikubwa kabla ya ferry hiyo kuanza kuzama zaidi ya kilomita 20 kutoka ufukweni.
Shughuli ya uokoaji bado inaendelea


Abiria wasimulia ajali

Watu walionusurika kifo katika ajali ya meli nchini Korea Kusini wamekuwa wakielezea hali ilivyokuwa ya kutisha ndani ya meli ya Korea Kusini ilipoanza kusimama kwa kuyumba, ikiegemea upande mmoja na haraka kuanza kuzama.
"Kwa kweli kulikuwa na sauti kubwa na meli ghafla ikanza kuegemea upande mmoja," amesema abiria aliyeokolewa, Kim Song-Muk.

"watu walikuwa wakihangaika kukimbilia maeneo ya juu ya meli, lakini ilikuwa vigumu kufanya hivyo kutokana na meli kupinduka."
Bado haijafahamika kilichosababisha kuzama kwa meli hiyo, ambayo kwa kiasi kikubwa iliwabeba wanafunzi wa shule, lakini watu walionusurika katika ajali hiyo wanatoa maelezo sawa kuhusu tukio hilo la kutisha.
Kikosi cha Walinzi wa Pwani ya Korea Kusini kimesema abiria wapatao mia tatu hawajulikani walipo baada ya meli kupinduka na kuzama.
Watu wawili wamefahamika kupoteza maisha na watu mia moja na sitini na wanne wameokolewa. Kikosi cha wapiga mbizi kwa sasa wanatafuta meli iliyozama.

Wengi wa abiria wa meli hiyo ni wanafunzi wa sekondari wakiwa katika safari ya masomo kuelekea kisiwa cha Jeju, nchini Korea Kusini.
Meli hiyo ilikuwa na watu 460. Zaidi ya miatatu hawajapatikana , wengine 164 wameokolewa na wengine wawili wamethibitishwa kufariki.

Chanzo;BBC
 

Attachments

  • meli.png
    meli.png
    125 KB · Views: 243
  • meli.png
    meli.png
    78.7 KB · Views: 1,958
jifunze kuandika vizuri una haraka ya nini? Harafu habari haijakamilika,haina chanzo kwani wewe ni mgeni mtaa huu.
 
Kuna tofauti kati ya meli na ferry
Au umeona ukisema ferry ujumbe hautafika.
 
Meli imebinuka na kuzama huko Korea Kusini muda sio mrefu uliopita na zaidi ya abiria 164 wameokolewa. Ilikuwa imebeba zaidi wanafunzi waliokuwa wanaenda 'study tour' wakitokea mji wa Incheoni kwenda kisiwa cha Jeju
 
Haya majanga sasa inatisha. Tusubiri tuone chanzo cha ajali ni nini! Ingekuwa Bongoland tungejua ni yaleyale kutojali usalama. bongo yetu safety huwa inakuwa kwenye maandishi tu!
 
Back
Top Bottom