Nimepata kazi serikalini mwaka huu mwanzoni nimepangiwa kituo mkoani lakini barua yangu ya kuomba kazi ilikua na address ya Dar-es-salaam kwa sababu naishi Dar-es-salaam pamoja na familia yangu
Lakini cha ajabu nilipo report kituoni kazini wakaniambia kwamba kuna waraka (standing order) mpya inasema hakuna malipo ya usafiri (meaning kuamisha mizigo pamoja na familia) wadau hii imekaeje ni kweli hiki kitu kipo au kuna mchezo mchafu unatokea?na kama ni kweli uhalali wake upo wapi?
Wenye mawazo kuhusu hili msaada please.