FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tena bora mviziaji kuliko gaucho anaesifiwa kwa kuweka mpira pajani na kifuani

Its too pathetic ujinga mtupu

Nikiweka ushabiki mandazi pembeni cr7 kamzidi gaucho mbali sana na sio mafanikio tu pamoja na vitu vingi tu except nidhamu. Sasa anakuja mtu anamcompare na Mfalme mwenye mpira wake. Wabongo bana vichekesho kweli kweli ndiomaana kwenye interview nyingi huwa tunafeli
 
Ter Stegen ni sawa na mchezaji wa ndani-first half Real betis wanakuja juu yeye ndio kwanza anawapunguza kasi kwa kukaa kaa na mpira without any worry
Barca sasa wanacheza kulingana na context ya game ndani ya uwanja. Kipindi cha pili wale madogo walishangaa kuona wanapigwa 5-0 ndani ya dk 30 za mwisho. Ilikuwa kama maigizo hivi kumbe ni muujiza/maajabu ya yaliyofanywa kwa muda mfupi tu.
 
4bea63ca830e1c421c42e49dbc2e4e11.jpg
Betis vice president Lorenzo Serra Ferrer felt it had been a privilege to witness Messi at his brilliant best.

"Messi deserves that because it is a show, what he has done in the second half"

"Not only in attack but claiming balls in their own half of the field."

"His humility and ability make him bigger and the public of the Villamarin has been able to appreciate the extraordinary player that is Leo Messi."
 
Barca sasa wanacheza kulingana na context ya game ndani ya uwanja. Kipindi cha pili wale madogo walishangaa kuona wanapigwa 5-0 ndani ya dk 30 za mwisho. Ilikuwa kama maigizo hivi kumbe ni muujiza/maajabu ya yaliyofanywa kwa muda mfupi tu.
Siku hizi Barca inafurahisha sana kwa kubadilisha mchezo. Ukiangalia ile mechi ya Madrid na Ile ya Rsociedad na hata ya jana zote tulobadili mbinu kipindi cha pili. Pia EV anawekaga sub zenye matokea sana. Siku hizi hata tukianza kufungwa sinashaka naju mzee atatune mambo mawili matatu na kushinda. Espanyol wajiandae kwa kipigo Alhamisi.
 
Yaani kwamba hivi, siku hiyo watajuta kwanini first leg walitufunga Mkuu...
 
Screenshot_2018-01-23-21-23-07-1.png

Daaah sad news ,legend anaondoka watamfanyia farewell
Hata siamini aisee sometimes its hard to say Goodbye
Am honestly very sad ,nilikua namuaminia sana akikaa kule nyuma The lion ,beast huyu jamaa moja ya sufa yake kuu ni imani ngumu,hata match iwe ngumu vipi ,vilevile ni undefeated haiwezekani umpite halafu akutazame tu lazima akurambe "ngwala" pia kwenye gym session ndo anaongoza kunyanyua uzito mkubwa
 
View attachment 683102

Dah! Inauma sana ila hatuna budi kukubaliana na ukweli, tujipange vizuri tuu kukabiliana na changamoto zilizopo mbele yetu.
 
Wacha statistics ndg ila kumbuka Gaucho ndiyo aliyofanya wengi waupende huu mchezo wa soka acheni chuki

Nani kaleta chuki?? Kila kitu kinaonyesha Messi yupo juu. Wakati gaucho hata 10 bora hayumo, Na Diego maradona unamzungumziaje?? Maana alikuwa anauchezea mpira zaidi ya gaucho.

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele
  4. Alfredo de stefano
  5. Puskas
  6. Cruyff
  7. Zidane
  8. N.k
 
Alikupa hamu na shauku ya kuutizama mpira hata kama mmefungwa ulitamani kumwona akiwa na mpira na alijua nini anafanya ukweli utabaki kuwa Mwamba anajua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom