FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

fd9da0bb88ab892a4b8d67b755a5e3ec.jpg

Hakika alichofanya mwamba hakuna anaeweza fanya kama yeye kumbuka goal dhidi Chelsea

Tunaomba statistics mbona hatuelewani ndg!!! Mnampamba sana mkiombwa evidence mnarukaruka
 
Nani kaleta chuki?? Kila kitu kinaonyesha Messi yupo juu. Wakati gaucho hata 10 bora hayumo, Na Diego maradona unamzungumziaje?? Maana alikuwa anauchezea mpira zaidi ya gaucho.

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele
  4. Alfredo de stefano
  5. Puskas
  6. Cruyff
  7. Zidane
  8. N.k
Kama statistics zingekuwa ndiyo ubora basi leo tusingekuwa tunasema cab na Inesta ni bora ktk ulimwengu wa soka
 
View attachment 683102
Daaah sad news ,legend anaondoka watamfanyia farewell
Hata siamini aisee sometimes its hard to say Goodbye
Am honestly very sad ,nilikua namuaminia sana akikaa kule nyuma The lion ,beast huyu jamaa moja ya sufa yake kuu ni imani ngumu,hata match iwe ngumu vipi ,vilevile ni undefeated haiwezekani umpite halafu akutazame tu lazima akurambe "ngwala" pia kwenye gym session ndo anaongoza kunyanyua uzito mkubwa

Dah.bado sijaona wa kumfananisha nae. Tutammis sana commandoo JAVIER
 
Ni hivyo tu!! Aise atasubiri sana. Nashkuru kiongozi atleast wewe umeleta statistics wengine wameona hata aibu kuiweka wazi.
Ukimuuliza Messi mwenyewe atakwambia master wake ni nani na huyu ndiyo alimwiintroduce Messi kwa Richkard wakati akiwa haelewani nae vyema kama sikosei alikuwa anakila mtoto wa kocha wake by then
 
MKITAKA WEBSITE YA KUBET INAYO TOA MIKEKA NA NI WEBSITE YA NJE NINA MAANA YA WALE WAZUNGU NGULI WA KUCHAMBUA NA KU RISK MIKEKA NA INATOA ASILIMI 98% NI WEWE MWENYEWE UKITAKA ODD ZOZOTE NI UN CHANGUA TU BONYEZA HAPA>>>>>> WINTIPS100.COM
 
Nani kaleta chuki?? Kila kitu kinaonyesha Messi yupo juu. Wakati gaucho hata 10 bora hayumo, Na Diego maradona unamzungumziaje?? Maana alikuwa anauchezea mpira zaidi ya gaucho.

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele
  4. Alfredo de stefano
  5. Puskas
  6. Cruyff
  7. Zidane
  8. N.k




wewe hujui mpira unaonekana umeanza kujua mpira juzi
 
Sio kweli. Haya maneno ya kwenye kahawa tushayazoea mkuu.[/QUOTE


vipi wewe ndio messi nini? kama yeye mwenyewe anakiri kajifunza vingi kupitia kwake wakati yupo barca B mpaka anampokea team ya wa kubwa na kuanza kukaa nae wewe pimbi wa kishumundu unabishana nae mwenyewe messi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom