FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

....mazezeta ndio kawaida yenu!,nimekuuliza last ten years mmeshinda mara ngapi?,na Barca kashinda mara ngp?, jifunze kuelewa swali zoba:D:D

Hakuna mashindano yanaitwa last ten years. Ni Champions League ndio ninaijua Mimi. Tangu yaanzishwe 1992 Ni Real Madrid pekee amebeba 6. Kwahiyo hata Kama hamyataki Yale makombe ya zamani basi hata hili la sasa bado anaongoza tu
 
...wewe kizibo, akili ndogo sana,hebu angalia hiyo UCL last ten yearz mmeshinda mara ngp?, na Barca kashinda ngp?
 
...wewe kizibo, akili ndogo sana,hebu angalia hiyo UCL last ten yearz mmeshinda mara ngp?, na Barca kashinda ngp?

e6e831393db2369fa5d01f996672a8c2
 
...huyu nae sijui hata km ulimaliza standard 7:rolleyes::rolleyes:
Taarabu nyingiii
Ndo ttzo la kuelewea mpira kwenye redio, bishia fact siyo mipasho

We kufika std 7 ulikuwa unasomea mpira!!!?

Usijifanye unawatsha real wakat juz tuu wame wafumua 2-1
 
Juzi tu wamemfumua marinda leo kasahau.
Hajasoma data real hawajafungwa toka mwezo wa pili, na tu walizo zofunga barca ipo, hasa anasema wangeifunga real na wakat real wame ifunga team ilo itoa barca.

Mambo ya kusikilizia mpira kwenye vipindi vya bolingo haya!!
 
Nyie mbwa mliongoza point 13 ila hadi mechi ya mwisho mlikuwa mnataka ji...a maana tulikuwa tumewakalia na bado tumebeba UCL zaidi yenu
UCL yenyewe wameishia robo fainali, yaan hawapaswi hata kubishana na man city alo fika nusu fainali na akatolewa na bingwa ,wamebaki na kelele za copa de ra ley tuu
 
Taarabu nyingiii
Ndo ttzo la kuelewea mpira kwenye redio, bishia fact siyo mipasho

We kufika std 7 ulikuwa unasomea mpira!!!?

Usijifanye unawatsha real wakat juz tuu wame wafumua 2-1

.... vipi Bernabeu mlikula ngapi?!, nyie vichwa maji sn:p:p:p
 
.... vipi Bernabeu mlikula ngapi?!, nyie vichwa maji sn:p:p:p
Mlitufunga 4-0 october mwaka jana

Tuka jipanga na sie camp nou camp, tuka wapga 2-1 mwaka huu april na hatuja fungwa toka apo

Zaid tume ifunga tim ilo wafunga nyie na bayern munich, yaan atletco madrid
 
Mlitufunga 4-0 october mwaka jana

Tuka jipanga na sie camp nou camp, tuka wapga 2-1 mwaka huu april na hatuja fungwa toka apo

Zaid tume ifunga tim ilo wafunga nyie na bayern munich, yaan atletco madrid
.....una akili ndogo sn eroo,rudi darasani, am sorry!
 
719773fe28bab8c3387bfc6167d31d57.jpg

Jezi za msimu ujao za barca baada ya Qatar kugoma kuongeza mzigo na kusema wanafocus kupata mkataba wa kudhamini la liga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom