Naisujaki Lekangai
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 1,340
- 1,377
Wapendwa, habari zenu.
Nawasilisha mbele yenu uzoefu wangu wa muda mrefu kuhusu jinsi baadhi ya wanaume wanavyotuchukulia sisi wanawake. Uzoefu huu umetoka kwenye uchunguzi wa tabia za wanaume niliopata kuhusiana nao kwa njia ya urafiki au hata kwa kujuana pia kutoka kwa marafiki zangu wanawake. Hayo mawazo ya wanaume nimeyaita 'assumptions' kwa sababu yamewakaa sana vichwani mwao kiasi kwamba wameyafanya kuwa ni kanuni za kuwaelewa wanawake. Nitazitaja moja baada ya nyingine na mwisho nitatoa maelezo kuhusu kila assumption.
assumption one: When a woman says 'no' she actually means 'yes'
assumption two: If you tell a woman/girl you are rich, she will be more than ready to accept you as a lover.
assumption three: Any crevice/hole on a woman's body is fit to have x.y.z squeezed through!
Maelezo ya kila assumption:
assumption one: Mwanaume akikuomba urafiki kisha ukamkatalia, anazidisha bidii badala ya kusitisha. Atakuandama kiasi cha kukufanya upate kizunguzungu. Nlishagombanaga na mkaka mmoja ambaye hakuelewa kabisa maneno: ' hapana sitaki'
Akaanza visa vya kunitishia kwamba atanipiga mpaka niwe mbolea ya kuweka shambani. Mpaka leo hajanifanya kitu, na cha ajabu ni kwamba ananishikia adabu sana kila tunapokutana mitaani. Hebu wadada mwageni uzoefu wenu wa hii assumption one.
assumption two: Hii nakumbana nayo kila mara. Mara ya kwanza ni wakati niliposafiri kutoka arusha kwenda dar kwa usafiri wa basi la dar-express. Kwenye kiti cha watu wawili nilikaa na kaka mmoja mzungumzaji na mtongozaji hodari. Hata kabla hatujafika Tengeru akaanza na assumption two kwa kuniambia. 'Naenda dar kuchukua kodi ya nyumba zangu tatu zilizopo ostabei na kushughulikia gari yangu bandarini. Kisha akamalizia, 'Naomba tukifika dar unisindikize kwenye hizo ishu' Nilimshangaa sana nikamwambia haitawezekana kwa sababu nilikuwa naenda kumhudumia mgonjwa. Alinyamaza lakini niliona hakuridhika kabisa na maneno yangu.Huwa nawaza sana kwamba pengine ingekuwa ni mwanamke mwingine ambaye si mwelewa wa gia za wanaume, angempapatikia yule kaka na mwishowe angegundua kuwa hakuna cha nyumba wala gari ila hata shuka ya kujifunika usiku hana.Rafiki yangu mmoja nliesoma naye aliingia mkenge kwenye gia hii kali ya utajiri.
assumption three: Hii ni kali sitaizungumzia kwa undani sana ila kwa haraka nitawapa uzoefu wangu mfupi.Kwenye sherehe ya harusi moja niliyohudhuria nilikaa meza moja na wakaka wawili. Soga full na stori kemkem. Kwenye mazungumzo ghafla mmoja akanitangazia:'Mtoto mzuri kama wewe hakuna haja ya kunivulia chupi. Unakunja tu mguu wako, mimi naendelea kwenye huo mkunjo kwa raha zangu. Mwenzake akadakia na kuunga mkono. Nikawaza: Kama anaweza kumaliza haja zake kwenye mkunjo wa mguu, basi popote penye ufa na njia aweza pia kumaliza haja yake.
Wadada na wakaka mwasemaje? Hasa wadada, haya ni ya kweli au hamjakutana nayo? Wakaka naomba msichukie na kuporomosha maneno makali.Dunia hii ina mengi!
Asanteni
Ni mimi,
Miss Nai.