Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,682
- 11,129
Twende mdogo mdogo; Hussein alizaliwa Mwaka gani na wakati huo baba yake alikuwa wapi na anafanya Nini? Haya yakijibiwa Kwa usahihi tutajua ukweliTufafanulie. Unamaanisha huyu Mwinyi (Ali Hassan) alizaliwa miaka ya 1800?
Pia historia inatuambia Mwinyi alizaliwa Kivure, Mkuranga mkoa wa Pwani huku Tanganyika.
Hapo juu kuna mdau amesema katiba ya Zanzibar inatamka anayekidhi kuwa rais wa Zanzibar lazima awe mZanzibar kwa kuzaliwa. Kama hivyo ndivyo, je, ilikuwa halali Mwinyi kuwa rais wa Zanzibar?
Hussein Mwinyi: huyu aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga- je, ni mzaliwa wa Mkuranga? (ie ni mzaliwa wa bara/Tanganyika?) au ni mzaliwa wa Zanzibar?