Fast and Furious ni Movies zinazonishinda kuangalia. wenzangu mnawezaje?

Kama huna mapenzi na magari na barabara huwezi zipenda hizo movie, ila kwa ss wazee wa rough road na magari ndo movie zetu chief,

pole sana.
 
Sio zote. Hii ya 2017. Aka the fate of furious ni uongo mtupu tena wa kitoto. Ila tusiishie kuiponda tu...

1.163 billion USD box office sales only.
Hii ni kama tsh2.4 trillions ambazo last year tanzania ilizunguka dunia nzima kutafta mkopo wa kiasi icho.

Sent using Jamii Forums mobile app
uongo walichoigiza au gharama walizotumia?
 
Mimi naangalia za uhalisia sitaki fictional kabisa napendelea movie za kijamii za wamarekani weusi kina waiting to exhale,why dd I get married,white Masai and the likes ngumi sitaki kabisa kuona Bongo nayo nilipenda enz ya kanumba now sifatilii naanzaje kuacha queen of katwe?
 
We unataka kuangalia nini au maigizo?.Kwa akili hizi ndo maana hatufanikiwi.Subiri movie ya kweli siku utakayoshushwa kaburini hozo nyingine zote nimambo yakufikirika na lengo lake nikutoa burudani,kuelimisha namengine.Kwaiyo kama kama wewe hizo huzipendi angalia bongo movie.
 
Naunga mkono hoja, hata mi pia hizi movies za akina van diesel na wenzie akina luda zimenishinda kabisa. Hata kama ndio kucheza na magari lakini sio kivile matango poli mengi mno.
 
namuunga mkono mleta mada fast furious ni movie zilizojaa utoto mwingi sana yaani uongo uliopitiliza ...walinichosha pale gari iliporuka kutoka ghorofa moja mpk nyingine
 
hapo kwenye swala la uhalisia..hakuna movies zilizonishinda kuangalia kama za hawa chori chori yaani za kihindi hasa za kipindi vya karibuni hata vipindi vya channel zao kwenye tv zilinishinda..!! yaani mtu akirusha teke utafikiri anapiga kitu cha umbali wa km 5.
movies zangu ambazo huwa hazinichosi aiseeh za kichina hata kama kuna uongo but wapo very creative!! nazikumbuka classics kama drunken master, snake in the monkey shadow..these guys never boring!! pia ni mpenz wa fiction za kimarekan.
 
Back
Top Bottom