Faru John wajanja walishamnywa kitambo, pembe zilizoonyeshwa ni za faru "Hadija"

Yaani mnaona miwape majina ya watu sio? Kwa nini asiitwe mjina asili? yamejaa tele

Sasa jamaa wamemnywa hapo tunamjadili mtu au mnyama?
 
Faru Hawa walizaliwa na majjna yao? walibatizwa lini?

Tunawafunndisha nn watoto na vizazi vijavyo, tuacha tabia ya kuwaita mbwa, faru majina ya binadam na ndio maana Mungu alitumba tofauti, binadam na wanyama, wanyama tuwape au tuwatafutie Majina yao, ya binadam yabaki ya binadam
 
Kwani Mungu aliumba majina? Una uhakika gani majina tunayotumia yalikua kwa ajili ya binadamu na si viumbe vingne? Vipi wale wanaoita watoto Komba, Tembo, Simba, Chui n.k hapa unafunza nini jamii? Kuna mambo inabidi kupunguza mihemko
 
Namwona mkuu wa kaya akinyemelea na rungu kwa mbali...Kusema ukweli ilikua ndo silaha pekee kwa waziri wa sasa ila kutoa taarifa za uzushi atatumbuliwa tu...Mkuu wa kaya wa sasa hakawii.
 
Wana JF

Salaam

Kutokana na matokeo yaliotolewa kuhusu ukweli wa pembe ya Faru john baada ya Mh Waziri Mkuu kuunda tume ya kuchunguza vinasaba vya pembe ya faru john na mabaki ya faru john kule Grumeti na matokeo kuwa pembe iliowasilishwa kwa Mh Waziri Mkuu haikua ya Frau john bali ni Faru Hadija hivyo, ni wazi kabisa walioshiriki kumdanganya Waziri Mkuu wamekalia kuti kavu hasa baada ya Mh Waziri Mkuu atakapowasilisha taarifa nzima kwa Mh Rais Magufuli
 
UNAONEKANA KUFURAHI KAMA VILE UTAPATA MKATE WA LEO NYUMBANI KWAKO AU HIYO ITAWATOA WATOTO WAKO TOKA SHULE YA KATA!
 
Back
Top Bottom