Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
Hii ni kwa mujibu wa ndugu Magori (DO DIRECTOR OF OPERATIONS) katika kipindi cha kipimajoto wakati anamalizia kuzungumza. Amesema kuwa fao la kujitoa, serikali haina tatizo. Inaweza kutoa wakati wowote na kwamba amewapanga mameneja wake tayari kwa kazi hiyo.
Ila ametoa angalizo: Kama huna mpango sahihi na hela hizo bora uziache. Ukiacha kazi, usichukue fedha zako bali tafuta nyingine na uendeleze kuweka akiba ili uje kufaidi pensheni.
Kiujumla kajitahidi kujitetea, ila lililokuwa likisubiriwa ni hiyo kauli yake ya mwisho.
----------
UPDATE - October 30, 2012