Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 440
- 116
Bongo unakula kwa namna unavyoweza kucheza na akili za watu.
Hii ni kwa mujibu wa ndugu Magori (DO DIRECTOR OF OPERATIONS) katika kipindi cha kipimajoto wakati anamalizia kuzungumza. Amesema kuwa fao la kujitoa, serikali haina tatizo. Inaweza kutoa wakati wowote na kwamba amewapanga mameneja wake tayari kwa kazi hiyo. Ila ametoa angalizo-Kama huna mpango sahihi na hela hizo bora uziache. Ukiacha kazi, usichukue fedha zako bali tafuta nyingine na uendeleze kuweka akiba ili uje kufaidi pensheni. Kiujumla kajitahidi kujitetea, ila lililokuwa likisubiriwa ni hiyo kauli yake ya mwisho.
hii ni kwa mujibu wa ndugu magori (do director of operations) katika kipindi cha kipimajoto wakati anamalizia kuzungumza. Amesema kuwa fao la kujitoa, serikali haina tatizo. Inaweza kutoa wakati wowote na kwamba amewapanga mameneja wake tayari kwa kazi hiyo. Ila ametoa angalizo-kama huna mpango sahihi na hela hizo bora uziache. Ukiacha kazi, usichukue fedha zako bali tafuta nyingine na uendeleze kuweka akiba ili uje kufaidi pensheni. Kiujumla kajitahidi kujitetea, ila lililokuwa likisubiriwa ni hiyo kauli yake ya mwisho.
lifuatalo ni tangazo la mamlaka ya usimamizi na udhibiti wasekta ya hifaji ya jamii (ssra)...limetolewa leo (copy ninayo) na kusambazwakwa vyombo vya habari hapa bungeni dodoma...
mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya hifadhi yajamii (ssra), inapenda kuufahhamisha uma kufutwa kwa tanzano lililotolewa mweziagosti 2012 kwenye vyombo mbali mbali vya habari lililohusu kusitishwa kwa faola kujitoa.
maamuzi haya yanaenda sambamba na hatua ya serikalikuendelea na utekelezaji wa azimio la bunge tukufu la jamuhuri ya muungano watanzania katika kikao chake cha nane kilichoazimia pamoja na mambo menginekuirejea sheria ya hifadhi ya jamii (the social security laws amendments act no.5 of 2012).
My take:
sasa swali...je! Unadhani hatua hii ina unafuu wowote kwawafanyakazi! Je! Huku si kuuhadaa umma! Kwani kuondoa tangazo kunabatilishauhalali wa sheria! Tafakari na chukua hatua….
At last the dog has bowed