Famous Business Failures of Successful Entrepreneurs

Yaah Thomas Edson alikuwa mkali sana, ni mfano mzuri sana wa kutokata tamaa, kuna kitu alikuwa anakiona, PICHA AKILINI, ambayo hakuna mtu mwingine alikuwa anaiona ni sawa na Steve Jobs wa Aple Computer na falsa yake ya "Computer as simple to use as toaster".

Watu woote waliofanikiwa hakukubali kukatishwa tamaa na mtu awaye yote au mazingira au kushindwa mara kadhaa, waling'ang'ania kile walichokuwa wanakiona akilini mwao VISION au MAONO, Hii ndio msukumo mkubwa wa mafanikio yao.

Unapokuwa na MAONO au VISION ya jambo fulani unakuwa na picha halisi kichwani mwako, hivyo kushindwa kunageuka kuwa njia ya kujifunza. Maono yoyote lazima yakumbane na vikwazo tena vikubwa, lakini kama ni halisia ndani ya mtu, haijalishi vikwazo gani vitaibuka havitakuwa na uwezo wa kuua MAONO/VISION ya mtu isipokuwa mtu mwenyewe.

Wengi tunaosema tumeshindwa ni kwasababu twakosa hii kitu MAONO/VISION, na hakika si kama tunakuwa tumeshindwa bali tumeacha kujaribu, tukumbuke Quitters never win.

Asante sana Komandoo kwa kutuletea nukuu hizi.


Ubarikiwe kwa kufafanua zaidi. Lengo langu ilikuwa hasa kuamsha mjadala juu ya 'vision and mission'. Ni wanaofikiri 'Kiwendawazimu' hasa, ambao hufanikiwa. Hiyo picha iliyo kichwani mwa mtu hakika hakuna mtu mwingine anayeiona exactly kama huyo mmiliki ama mtengenezaji wa picha hiyo.
Katika mojawapo ya maandiko yake, Edson anasema aliulizwa swali "What is electricity and how does it look like?" Akatoa jibu fupi tu, "I don't know, but try it and you will see"
Nakubali kwamba 'Quiters Never Win'. What matters is persistence.
 
...Also, recommend that you read: The Richest Man in Babylon - by George S. Clason, kwa watanzania wenzangu; it will open your eyes on building up wealth, maana watu wengine just because ana biashara nzuri anataka kuvaa kama vile amefika mbinguni; :juggle:

Asante kwa ushauri wako mzuri. Nimeshakibeba kitabu hicho kutoka HAPA, nimeprint, nitakisoma weekend hii yote. Umefanya jambo la maana sana kutupatia elimu ya ujasiriamali. Hii ndio hasa kazi ya JF, information sharing.

 
Mkuu si akili za kiwenda wazimu, ni kuwa na malengo tu, na mkuu ukijaribu kusoma story za wavumbuzi mbalimbali wapo walio jitolea kufa ila wakiamni watakaofuata wataendeleze walipo ishia,

Ni kweli ni vigumu sana katika mazingira ya kawaid make mtu akishindwa mara moja ndo basi

True kabisa kuna walio kufa ili kufanikisha uvumbuzi wao, kuna story moja nilisoma inamhusu mjerumani mmoja aliye kuwa anatest ndege yake alipanda kwenye mlima mrefu ili baadae ajiachie na hiyo ndege yake na bahati mbaya alianguka na kuvunjika vunjika na kufa muda mfupi baada ya kupelekwa hospitalin
 
Ni vema umerejesha thread hii, kwani naamini inajenga uimara wa mtu kuheshimu na kuvumilia kwa kupambana na changamoto zote zinazorudisha nyuma mafanikio ya MISSION aliyonayo mtu akilini mwake.
 
ubarikiwe kwa kufafanua zaidi. Lengo langu ilikuwa hasa kuamsha mjadala juu ya 'vision and mission'. Ni wanaofikiri 'kiwendawazimu' hasa, ambao hufanikiwa. Hiyo picha iliyo kichwani mwa mtu hakika hakuna mtu mwingine anayeiona exactly kama huyo mmiliki ama mtengenezaji wa picha hiyo.
Katika mojawapo ya maandiko yake, edson anasema aliulizwa swali "what is electricity and how does it look like?" akatoa jibu fupi tu, "i don't know, but try it and you will see"
nakubali kwamba 'quiters never win'. What matters is persistence.

true kabisa,
 
kingkong kwa nini usiulize quotations za mengi au bakhresa ambao ndo wanaweza kuwa mabilionea,riz one sio bilionea.ndo maana komandoo ameona unaleta mzaha,sababu hao alioweka rekodi zao ni mabilionea kwa viwango vya dola..kwa tz ambao labda wanaweza wakawa mabilionea kwa viwango vya dola ya marekani ni mengi na bakhresa.
 
kingkong kwa nini usiulize quotations za mengi au bakhresa ambao ndo wanaweza kuwa mabilionea,riz one sio bilionea.ndo maana komandoo ameona unaleta mzaha,sababu hao alioweka rekodi zao ni mabilionea kwa viwango vya dola..kwa tz ambao labda wanaweza wakawa mabilionea kwa viwango vya dola ya marekani ni mengi na bakhresa.
i
Hao unao wataja hata wao bado wana usiri mkubwa sana kwenye biashara zao, hawajafunguka zaidi jinsi walivyo pata mtaji na kazalika
 
Am soooooooooooooooo sooooo so much incouraged, inspired.
Thank you so much aisee.
 
nimekutana na watu wengi, wanako inspired na story kama hizi lakini hawachukui hatua au bado kuna hofu. my advise is, START! hata kufwatilia mambo ya ujasirimali utashangaa umeshaanza.

- tafuta kutafuta (research capital kiasi ganni inajitajika) a
- anza ku save fedha za hiyo capital
- andika plan, download business planner template anza kuijaza
- soma mtandaoni mambo kuhusu hizo biashara na watu waliozifanya ili ujue challenges

usiwe na mentality ya "employee", usitegee mshahara wako kuendesha maisha, usiwe mtu wa kuhesabisha siku mpaka mwisho wa mwezi, usiwe mtu mwenye furaha wiki kila wiki mbili za mwanzo wa mwezi. chagua uwe permanent mwenye furaha au huzuni bila kuhesabu siku.
 
nimekutana na watu wengi, wanako inspired na story kama hizi lakini hawachukui hatua au bado kuna hofu. my advise is, START! hata kufwatilia mambo ya ujasirimali utashangaa umeshaanza.

- tafuta kutafuta (research capital kiasi ganni inajitajika) a
- anza ku save fedha za hiyo capital
- andika plan, download business planner template anza kuijaza
- soma mtandaoni mambo kuhusu hizo biashara na watu waliozifanya ili ujue challenges

usiwe na mentality ya "employee", usitegee mshahara wako kuendesha maisha, usiwe mtu wa kuhesabisha siku mpaka mwisho wa mwezi, usiwe mtu mwenye furaha wiki kila wiki mbili za mwanzo wa mwezi. chagua uwe permanent mwenye furaha au huzuni bila kuhesabu siku.

That is the Poit mkuu, Kuchukua hatua ndo Ugonjwa mkubwa kabisa, Woga wa Kuchukua hatua ndo Tatizo kuu, mtu anaona Kuachia Mshahara wa mwisho wa mwezi ni Vigumu, Kuacha Marupurupu ni ngumu sana, Alisha zoea kufuatwa na Gari la Offisi, Alisha zoea AC za ofisini, alisha zoea Perdiem,

Ni kweli kwamba Biashara si lele mama na inahitaji kujitoa Mhanga kikweli kweli, inahitaji Kuchoma Meli Moto, na hii ndo suluhisho pekee,

Na mtu asikudanganye kwamba Kusoma Vitabu sijui vya wakina Rich Dad, kuhudhuria semina za Ujasirimali na kazalika ndo zitakazo kufanya uanze biashara, Kuingia kwenye Ujasirimal hutoka Moyoni mwa mtu mwenyewe na hakuna elimu ya kukufanya uwe hivyo


 
"Many of life's failures are people who did not realize how close they were to success when they gave up." – Thomas Edison

 
You could have a million ideas, but they're all worthless if you don't get them done." – Lauren Amarante
 
Back
Top Bottom