Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 485
- 1,042
Najua babuu wa kitaa na country boy ni ndugu ila sikuwa najua kama lunya naye ni manafamilia.Leo ndo najua Young Lunya ni ndugu zake Babuu na Country boy ..
Mbona Lunya anadai yeye mtoto wa Vingunguti?...wakati Babuu na Country boy wanatokea Mikocheni? sijaelewa