Familia Ya Nyerere Wajiunga Na Chadema?

Swala hapa siyo Mama Maria alivaa nini. Watu wanaenda mbali zaidi ya mavazi, wanaangalia mahusiano na timu ya CDM, ujue siku hiyo hawakuishia kuweka mashada peke yake, kuna mazungumzo yalifanyika hata kama ni ya dk 10, lakini mwenye akili inatosha kumsoma mtu na kujua kama ana msimamo gani.

Nadhani waliokuwa kwenye hiyo ziara wanajua vizuri. Sasa kwa akili yako ulitegemea yule mama avae combati za CDM??!!

Asante Mkuu maongezi yenyewe ya faragha ni kama haya hapa:
Slaa-nyerere.jpg
 
Mavazi aliyokua amevaa mama nyerere hiyo ilikua ni zuga tu wakulu!
 
Jambo ambalo liko wazi na hakuna ubishi ni kwamba mavazi ya mebeba ujumbe fulani. Anyway, just to be curious, hivi kama una mtu ambaye aliwahi kuwa kiongozi watu na baadhi ya watu wake aliowaongoza wakaamua kumuita baba wa taifa, huyu baba wa taifa akawa na mke wa ndoa, huyu mke wake ataitwa je? na anatakiwa abehave vipi?
 
Back
Top Bottom