Familia ya JF naomba msaada kuhusu chuo cha NIT

Jamani naombeni msaada,

Kuna hiki chuo cha National Institute of Transport mpaka leo bado hakijatoa majina ya first degree waliochaguliwa kuingia pale kwa mwaka 2016/2017 na me na hisi nimechaguliwa pale, sababu niliomba vyuo vitatu yaani UDSM, UDOM na NIT Profile inaonyesha i have selected ila udsm na udom sipo.

Kama kuna mwanafamilia wa JF anayo list tafadhali mnisaidie ya hapo NIT
NIT tafuta biashara ya kufanya maana hata semester y pili haijaisha... hiki chuo kinakera kina ratiba y kipekee tofaut n vyuo vingne
 
NIT tafuta biashara ya kufanya maana hata semester y pili haijaisha... hiki chuo kinakera kina ratiba y kipekee tofaut n vyuo vingne
duh mbona kama ni hivyo tutasubiri sana, najuta afadhali hata ningeomba DIT
 
Nasoma NIT na kwa taarifa zilizopo nikwamba first year kuja ni mpka november mwishon au mwanzoni mwa december kwa sababu tunasoma kwa shift na lazima watu watoke kwanza ndio first year waje
 
majina yapo kuna jamaa aliyatupia apa jf kwenye jukwaa la elimu tafuteni thread yake.
 
Back
Top Bottom