Familia ya JF naomba msaada kuhusu chuo cha NIT

HOMBOY

JF-Expert Member
May 16, 2016
1,432
924
Jamani naombeni msaada,

Kuna hiki chuo cha National Institute of Transport mpaka leo bado hakijatoa majina ya first degree waliochaguliwa kuingia pale kwa mwaka 2016/2017 na me na hisi nimechaguliwa pale, sababu niliomba vyuo vitatu yaani UDSM, UDOM na NIT Profile inaonyesha i have selected ila udsm na udom sipo.

Kama kuna mwanafamilia wa JF anayo list tafadhali mnisaidie ya hapo NIT
 
Ulichagua kozi gani pale?
 
Jamani naomba kwa ambaye anajua kuhusu selection za chuo cha NIT kama zimetoka

Naomba mnijuze kama kuna aliyeona.
 
Jamani naombeni msaada,

Kuna hiki chuo cha National Institute of Transport mpaka leo bado hakijatoa majina ya first degree waliochaguliwa kuingia pale kwa mwaka 2016/2017 na me na hisi nimechaguliwa pale, sababu niliomba vyuo vitatu yaani UDSM, UDOM na NIT Profile inaonyesha i have selected ila udsm na udom sipo.

Kama kuna mwanafamilia wa JF anayo list tafadhali mnisaidie ya hapo NIT
Nenda chuoni kwa msajili yapo majina
 
sisi mwaka jana tulianza kuripoti mwezi november tarehe za katikati lakini kwa ratiba ilivyokaa inawezekana mkaripoti mwezi november mwishoni au december mwanzoni.... kuhusu admission letter huwa hazitumwi unafuata mwenyewe chuoni.
 
Shida sio kureport ..walitakiwa watoe majina kwanza ili watu wajijue then hata wakisema kureport mwakan tutasubiri 2
 
point

point mkuu,huo ndo ukweli,wana website halafu wana fanya mambo kizamani sana
 
Back
Top Bottom