FaizaFoxy, Mwita25, MalariaSugu, Freedom Is coming... I am out of CCM

Hivi kuna ugumu upi hapo, huyo hata CCM yenyewe hana kadi ya uanachama, usifanye maskhara wewe, "eti" mtoto wa waziri, ndio nini? watu wameona mtoto wa Rais hayupo CCM na wala hawakustuka itakuwa waziri? Unanchekesha!
Hakika nawaambia ya kwmb km MS,FF na ritz kama wako hapa Mi nawaambia nawasimamisha ktk mada zao na Mpende msipende, Hbr ndiyo hiyo.
 
Nanukuu ''Ukiwa na uwezo na nia, sidhani hata CCM ikiondoka utakosa kazi, lakini ukiwa mchafu, lazima utayaona mabadiliko kuwa machungu'' mwisho wa kunukuu

MUHIMU : Kama kila anayejibu hoja angefikiria sentensi hii kwa kutumia Ubongo na Moyo................
 
Watanzania hawachagui vyama, huchagua wagombea. Hata kama Shibuda angekuwa CUF, angepata ubunge... Hata kama Slaa angeenda NCCR, angepata ubunge. The point is, these CDM leaders are not presidential material, period. Mtawatukana watu humu jamvini mpaka mtachoka, but some poeple got enough balls to let you know the truth.

Halafu msipende kulinganisha Arab spring revolution na hooliganism iliyofanyika Arusha. The spring revolution imetoka mioyoni mwa watu, hakuna kiongozi wa chama au sekta yoyote aliyewaambia watu waingie kitaa kwa sababu ya chama fulani. Wananchi wakiamua wenyewe, hakuna wa kuwasimamisha. There's a day, may be. But please don't try to copy other movements that don't have nothing to do with our situation.

Yes we are dirt poor, the gap between haves and have nots is widening but we know where we came from, and if where we came from was better, then it's a no brainer that people would've been demonstrating massively.

Mwageni sera watu wataelewa, fujo is not our thang!!
 
tatizo watanzania ni wanyonge mno.....

hata makonda wa daladala tu wanawaogopa
itakuwa polisi na mabomu??????
 
sidhani kama ni uamuzi mzuri kuondoka CCM.kwa mtazamo wangu nadhani mapambano mazuri ya kuwaondoa viongozi wasiofaa yataanzia ndani ya chama chenyewe hasa ktk mchakato wa kura za maoni.Ilipofikia CCM sasa hivi si rahisi kuachia madaraka kwa upinzani kwani wanajua kuwa viongozi wengi wataishia jela.

Nashauri vijana wengi wajiunge CCM mapema ili kuleta mabadiliko ndani ya chama sivyo utawala wa kurithishana ndani ya ccm utaendelea milele.

Usiwadanganye vijana, wengi wa hao unaotaka kupambana nao ndani ya CCM waliingia humo wakiwa vijana na sasa wamezeekea humo humo bila mabadiliko yoyote. Kijana anayeingia CCM sasa naye akae akijua atazeekea humo humo bila kuleta mabadiliko yoyote kwani anayeoga mtoni hawezi kukauka akingali ndani ya mto, lazima atoke kwanza mtoni.
 
Njaa ni kitu kibaya! Inawafanya watu wakose aibu, na wasahau dini na utu. Hata watu wanaojidai ni wacha Mungu wanasahau "ucha Mungu" wao kuganga njaa! Bora uchangudoa kuliko unafiki.

Hiyo ndio CCM tunaojivunia Tanzania, unakwenda unakopenda, ndio demokrasia, hata Mbowe babake na Mkwewe si walikuwa Serikalini?

Ngoja tumtafute waziri mchaga ni yupi kwa sasa tutamjuwa baba'ko.
 
Thank you so much, ni ujumbe nilioutegemea kwa binti mwenye malezi mema na mapenzi na nchi yake.

Tatizo sio kwamba wote wanaoshabikia wana maslahi makubwa ktk chama au serikali no! Wengine walipewa tshirt au offers wakati wa campain, au kulipa fadhira wazazi wao au ndugu walishafaidi kwa namna flani ktk system.

Nina uhakika ni umaskini na ni fikra potofu za kutothubutu kujitegemea, are making then completely blind for their entire life. HISTORIA ITAWAHUKUMU!!
 
Wengi watakuwa wanamkumbuka Iraqi Information Minister Bw. Muhammed Saeed al-Sahaf nicknamed Comical Ali, ambaye wakati wa vita ya Iraq.. hakukubali kuwa majeshi ya mafisadi yameingia Iraq ingawa milio ya risasi ilisikika huko nje...alikubali kuziba masikio na kuamini Sadam Hussein ameshinda vita..soma vituko vyake hapa We Love the Iraqi Information Minister

View attachment 40834

Wengi wanamkumbuka Spokesman wa Kanali Gaddafi Bw. Moussa Ibrahim, msomi na mwenye mke wa ki-magharibi ambaye kama ungekuwa unamsikiliza basi ungeamini panya wa Libya na mabwana zao wangepigwa kipigo cha mwizi kutokana na uzalendo wa wa-libya.. lakini yote
yalikuwa maneno matupu.....BBC News - Moussa Ibrahim: How Libya's voice was shaped in Britain
Moussa.jpg

Siwezi kushangaa hata Tanzania kuna watu wameenda shule, wana-busara zao, yaani wako Powa kama wengi wanao-ongelewa kwenye sredi hapo juu.. lakini hawatakubali kuwa umasikini, ufisadi, ujinga, na maisha magumu ya wa-tanzania ni kutokana na Magamba na uwoga wetu wa kuchagua watu ambao wangeweza kuleta mabadiliko hata kama mabadiliko hayo ni kutuchapa viboko tufanye kazi...!!

Porojo nyingi za humu ni kama za jamaa niliosema hapo juu... zinaweza kuendelea kama watanzania tutataka maendeleo na zinaweza kukoma kama tutataka hizo porojo zikome... Lakini ukweli ni kuwa watanzania ni masikini wa mali na akili ambayo kwa sasa badala ya kufikiria maendeleo inafikiria uwoga... Wazee wetu wangekuwa hawana busara au waoga kama sisi..nadhani kwa sasa tusingekuwa na Tanzania
 
Asante.. Umenena hasa.

Most of us are CCM by "default", that is born by CCM parents, TANU grandparents... you see, it just happened.. We didn't decide.
The present situation is terrible.. but we are still singing "CCM CCM CCM..!!! ................. Why? I will tell you....

Fujo za wapinzani zinatutisha... Wengine, kwa ticket za UN, tumeshatembelea Congo, Somalia..

...Tafadhali waambie hao wapinzani wajaribu kutumia siasa zaidi kuliko kuchochea vurugu na ghasia..................
 
@FaizaFoxy, : Dadangu, hata miie nimezaliwa na kulelewa ndani ya CCM. Nadhani tunahitaji mabadiliko. Sijui unafanya kazi serikalini, au wapi, Mie nafanya Private Sector, lakini baba yangu mzazi ni Waziri kwenye serikali ya Kikwete. Mama ni mtumishi wa serikali pia, lakini nakiri kwamba mabadiliko ni muhimu. Nimeondoka asubuhi na mapema kuja Arusha kujiunga na Wanaharakati na hali ambayo nimeikuta inasikitisha tamaa. Sitaki siasa za majungu za Ngeleja za kuchafua watoto wa makamba

Msisahau 15/11/2011 Hakuna kutumia Simu za TIGO..... Ni Wezi wanawanyonya walalahoi

Nakuona Mkuu wa kitengo cha masoko Voda at work! kwa hili umechemka!
 
Uamuzi wa kijasiri sana. Hongera Uhuru1, soon Tanzania itakuwa huru
 
Asante.. Umenena hasa.

Most of us are CCM by "default", that is born by CCM parents, TANU grandparents... you see, it just happened.. We didn't decide.
The present situation is terrible.. but we are still singing "CCM CCM CCM..!!! ................. Why? I will tell you....

Fujo za wapinzani zinatutisha... Wengine, kwa ticket za UN, tumeshatembelea Congo, Somalia..

...Tafadhali waambie hao wapinzani wajaribu kutumia siasa zaidi kuliko kuchochea vurugu na ghasia..................
=======

Ndugu yangu
CCM na serikali yake kama hawaguswi wala kushtushwa na umaskini wa watanzania, hawawezi kamwe kushtulia na siasa za wapinzani. Kwa hiyo, pendekezo lako la kuwataka wapinzani wache fujo ndipo watasikilizwa, sidhani kama lina uzito kwa historia tuliyo nayo sasa.

Kutoka hapa tulipo, fujo na vurugu haviepukiki na inaelekea ndiyo lugha inayoeleweka kwa CCM na serikali yake. Unfortunately, hata sie wengine tunaoogopa kuua sisimizi, tunalazimika kufanya hayo tusiyoyapenda katika maisha yetu.

Kaa macho, kuna uasi unanukia ndani ya vyombo vya ulinzi kwa sababu serikali imeruhusu reasoning kwenda likizo.

Nilikuwepo...
 
Nakubaliana nawe, ndugu yangu.

Tatizo kubwa, CCM na wapinzani wake, wapo busy kuonyeshana ubabe wenyewe kwa wenyewe. Wanatumia wananchi kama "tools" bila kujali maslahi yao.

Kwa hiyo akitokea Mpinzani mwenye akili, akawamwagia wananchi sera za kueleweka, na kuonyesha mifano hai ... I am sure wote tutavutika naye.
 
TUMIA MASABURI KUWAZA WE,SIJUI WA KIUME au WA KIKE! Lakini kinacholengwa ni HALI YA USALAMA MKUBWA!

Mngekuwa mnaujuwa usalama mngekuwa na sera ya "upiganaji"? au hujui maana ya kupigana? unapigania nini, madaraka?
 
=======

Ndugu yangu
CCM na serikali yake kama hawaguswi wala kushtushwa na umaskini wa watanzania, hawawezi kamwe kushtulia na siasa za wapinzani. Kwa hiyo, pendekezo lako la kuwataka wapinzani wache fujo ndipo watasikilizwa, sidhani kama lina uzito kwa historia tuliyo nayo sasa.

Kutoka hapa tulipo, fujo na vurugu haviepukiki na inaelekea ndiyo lugha inayoeleweka kwa CCM na serikali yake. Unfortunately, hata sie wengine tunaoogopa kuua sisimizi, tunalazimika kufanya hayo tusiyoyapenda katika maisha yetu.

Kaa macho, kuna uasi unanukia ndani ya vyombo vya ulinzi kwa sababu serikali imeruhusu reasoning kwenda likizo.

Nilikuwepo...

Umaskini wa Watanzania utoke wapi? ulale, ushinde kwenye mataputapu halafu ulalamike umaskini? umaskini ulikuwepo wakati wa Nyerere, wakati unahamishwa kwako kutupwa porini na watu usiowajuwa ndee wala sikio.
 
Back
Top Bottom