Fainali Uzeeni....

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Watu wameamka week end wameenda site kusimamia mafungi, Mie ndio Naamka Kutafuta Supu Na hangover za club. Finali Uzee....
 
Ndio tatizo na hangover.....Mpaka nachapia nilimaanisha mafundi...
 
Watu wameamka week end wameenda site kusimamia mafungi, Mie ndio Naamka Kutafuta Supu Na hangover za club. Finali Uzee....

weraaaaweraaa.... tukutane kwenye foleni ya wanzuki. komoni, chimpumu na rubisi... ila usije nikaushia tafwazali......
 
Huu msemo wa "FAINALI UZEENI" mtu ukikaa ukaufikiria vizuri na maana yake, unasaidia sana maishani, mie unanipaga nguvu sana ya kufanya ninalofanya kwa bidii, iwe kazi au kusoma! Hata wadogo zangu wakichezea maisha naishia kuwaambia "FAINALI UZEENI" that's all you don't need to talk much..!

Charminglady na Preta me like you people sana..!
 
i like u too....
 
Back
Top Bottom