bigmen
Senior Member
- Jul 3, 2020
- 147
- 318
Habari Wana jf
Leo nataka niongelee kidogo kitu inaitwa sexy/kujamiiana kwa ufupi Sana,
SEXY ni kitu Cha maana Sana hapa duniani maana bila hiyo kitu leo sisi tusingepiga story apa, inafainda mbali mbali kama vile ...
-kurefresh akili kwa jinsia ME
Fikiria tuu unapokuwa hujafanya hii kitu kwa kitambo nini kinakukuta, hasira mara kwa mara, mjegeje kusimamia hovyo, kusahau hovyo,
-kuongeza nguvu kwa jinsia KE
Mara mingi kwa wanawake mabondia na wacheza mpira wa miguu huwa wanatumia hii njia kwa ajili ya kupata nguvu wanapo kuwa kwenye pambano,
Hivyo wanawake wanashauriwa kufanya sexy sikumoja kabla ya mtihani au pambano au mchezo wowote wa kutumia nguvu.
Jamani msiache kufanya sexy au kujamiana maana kujamiana ni sehemu ya maisha, ni muhimu Sana kwenye maisha yetu,
Ulisha wahi kupatwa na changamoto gani ngumu ilio kuumiza kichwa Ila baada ya kujamiiana mwenza wako ukapata utatuzi? Au ukajisikiabkupata nguvu