Faida za kufanya Mapenzi hasubuhi kiafya.

thanks again and have you

JF-Expert Member
May 11, 2023
230
423
Wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Mapenzi na wengi wao wanagundua kuwa kufanya ngono ama mapenzi si tu kujihisi au kujisikia vizuri. Pia inaweza kuwa nzuri kwa ajili ya Afya zenu. Hapa ni kile ambacho maisha ya kimapenzi kiafya yanaweza kufanya kwa ajili yenu au yako. Soma zaidi hasa kwa wanandoa ufahamu faida hizi za kushangaza za kufanya mapenzi asubuhi.


_Husaidia kuweka mfumo wa kinga yako vizuri
_Inaongeza hamu ya kufanya mapenzi zaidi/ boosts libido
_Huimarisha kibofu cha mkojo kwa Wanawake.
_Hupunguza shinikizo la damu.
_Huhesabika kama moja ya Zoezi.
_Hupunguza hatari ya kupata shambulio la moyo.
_Hupunguza maumivu ya mwili
_Inaweza kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tezi dume / Prostate Cancer
_Inaboresha hali ya usingizi
_Hupunguza Msongo wa Mawazo

Next:Mambo ya kumfanyia mpenzi wako asikusahau milele...
 
Hii haiwahusu wale mnaokaa nje ya mji,nyie endeleeni tu na shughuli za kiuchumi na kujenga nchi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom