Faida ya mgogoro wa Israel na Palestine kwa Misri

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,398
Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA.

Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana.

Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri ananyamaza kimya kwenye mgogoro, huo hapo ndiyo ukweli. Watu wanaangalia maslahi.
 
Unajaza Server za Jf Kuanzisha uzi utumbo usio na kichwa wala miguu.

We km hapo mbagala nyanya hazina wateja nenda Buza.
 
US anatoa hela na misaada ya kiulinz na kijesh karibu nchi zote za mashariki ya kati. Zikiongozwa na hiyo familia ya Saudi
 
Yani kwambaa!!!?????
20240113_231808.jpg
 
US anatoa hela na misaada ya kiulinz na kijesh karibu nchi zote za mashariki ya kati. Zikiongozwa na hiyo familia ya Saudi
Hapa umedanganya..na sipendi watu waongo na uwongo...hakuna hata siku moja familia ya Al Saud imepewa msaada na US ila wananunua cash!

Rejea trump alivyosema wamenunua vifaa vya kijeshi vya USD 340
 
Hiv unajua kisa cha Osama kuichukia saudia wewe. Aliwalaumu kwa kuruhusu kuweka kambi za kijesh kwenye ardhi takatifu na wakat huo madona alienda kambin kuwaimbia jeshi uchi. Marekan inamikataba ya ulinz kwa hiyo nchi kwa taarifa yako. Na si hapo tu hata Qatar anayo kambi. UAE oman Bahrain Kuwait kote wenzio wana mikataba ya kiulinz. Kambi za Syria na Iraq kaweka majuzjuz tu. Kama huamin subir nchi yeyote ivamiwe katika hizo utakuja kuniambia. Misri yeye alibanwa baada ya karibu nusu ya jeshi lake kutekwa kule Sinai na Israel. Ndio akalazimishwa mikataba na hiyo misaada ya kijesh. Msaada sio pesa tu Mzee ni ulinz. Hiyo familia imejimilikisha hiyo nchi tangu Babu yake SSM.
 
US anatoa hela na misaada ya kiulinz na kijesh karibu nchi zote za mashariki ya kati. Zikiongozwa na hiyo familia ya Saudi
Mbona unatuongopea?
Misaada inatolewa Israel tu usitake kutudanganya.
Kwingine huko ameanzisha mahusiano ya kidiplomasia tu.
Hakuna taifa lolote analolipa msaada zaidi ya Israel.
Misri anapewa hongo ila mataifa yalobaki kama Saudia ,Bahrain ameweka nayo mikataba ya ulinzi na uuzaji silaha anatafuna pesa za hao waarabu.
 
Hiv unajua kisa cha Osama kuichukia saudia wewe. Aliwalaumu kwa kuruhusu kuweka kambi za kijesh kwenye ardhi takatifu na wakat huo madona alienda kambin kuwaimbia jeshi uchi. Marekan inamikataba ya ulinz kwa hiyo nchi kwa taarifa yako. Na si hapo tu hata Qatar anayo kambi. UAE oman Bahrain Kuwait kote wenzio wana mikataba ya kiulinz. Kambi za Syria na Iraq kaweka majuzjuz tu. Kama huamin subir nchi yeyote ivamiwe katika hizo utakuja kuniambia. Misri yeye alibanwa baada ya karibu nusu ya jeshi lake kutekwa kule Sinai na Israel. Ndio akalazimishwa mikataba na hiyo misaada ya kijesh. Msaada sio pesa tu Mzee ni ulinz. Hiyo familia imejimilikisha hiyo nchi tangu Babu yake SSM.
Asa huo sio msaada bro.
Ni mkataba huo umewekwa mzee wa kiulinzi na SAUDIA,BAHRAIN,UAE MAMILIONI YA DOLLAR YANAWATOKA KILA MWAKA KWASABABU YA HIYO MIKATABA YA ULINZI.
Utasemaje huo msaada ilhali wenzio pesa zinawatoka kila mwaka??
 
Bro hiv unajua maana ya ulinz chief. Unaweza ukatoa hela na ukakosa ulinz. Sio kila mtu anapewa hiyo kitu Mzee na Mzungu sio kila mtu anampa hiyo kitu. Lazima aone hilo eneo kwake lina maslah gani. Hiv unafikiri Taiwan hawatoi pesa kununua silaha marekan. Lakin marekan kawahakikishia ulinz mchina akitia pua kinanuka ndio kibur cha Taiwan na mainland wanajua.
 
Asa huo ndio msaada?
Umetumia msamiati msaada vibaya katika huo mnajili.
Ndio USA yuko pale kulinda maslahi yake na anatafuna pesa nyingi za waarabu kila mwaka ila huo sio msaada.
Taiwan kiburi kidogo maana hana uhakika wa usalama licha ya USA kudai anamuunga mkono South China sea Phillipines alipokonywa visiwa na China licha ya kuwa anaungwa mkono na USA.
 
Hiv unavyosikia Tanzania imepewa msaada na china unafikiri ni bure au.
 
Doh bro msaada unatolewa na pesa??
Misaada ipo aina tatu grants,aid and donation embu nambie ipi hapo unatoa hela??
Sema sapoti sio msaada.
Ama neno zuri la kutumia usaidizi(assistance).
 
Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA.

Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana.

Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri ananyamaza kimya kwenye mgogoro, huo hapo ndiyo ukweli. Watu wanaangalia maslahi.
Misri yupo mstari wa mbele kwenye kutafuta suluhu ya kusitisha vita, hajakaa kimya hata kidogo
 
Unajaza Server za Jf Kuanzisha uzi utumbo usio na kichwa wala miguu.

We km hapo mbagala nyanya hazina wateja nenda Buza.
Hujui chochote,50% ya budget ya misri inatolewa na U.S.A lengo,lengo ni misri isiingilie mgogoro/isiunge mkono hamas.
 
Mbona unatuongopea?
Misaada inatolewa Israel tu usitake kutudanganya.
Kwingine huko ameanzisha mahusiano ya kidiplomasia tu.
Hakuna taifa lolote analolipa msaada zaidi ya Israel.
Misri anapewa hongo ila mataifa yalobaki kama Saudia ,Bahrain ameweka nayo mikataba ya ulinzi na uuzaji silaha anatafuna pesa za hao waarabu.
Unaujua mkataba wa camp David?
Tuanzie hapo kwanza.
 
Mgogoro wa, Israel na Palestine Una faida kwa taifa la Misri. Ukweli ni kwamba Misri ana mkataba wa kutoingilia huo mgogoro na anapata billions of dollars kama hongo from USA.

Ndiyo maana huoni Misri akihangaika sana na huo mgogoro. Kufa kufaana.

Kwa wale wenye maswali kwa nini Misri ananyamaza kimya kwenye mgogoro, huo hapo ndiyo ukweli. Watu wanaangalia maslahi.
Mbona hata Saudia ni hivyo hivyo..

View: https://youtube.com/shorts/48Nb8FxZxGA?si=UApQJJvXlbYBXTcM
 
Back
Top Bottom