faida na hasara ya nyumba ndogo

Dogo1

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,361
576
Wakubwa kwenye jf hasa wale wenye uzoefu wa kutunza nyumba ndogo au wanaotunzwa kama nyumba ndogo, ni faida na hasara gani zinapatikana kiuchumi na kijamii kwa ujumla.

Nawasilisha hoja
 
Advanteges....
Nyumba ndogo unaweza kupata mapenzi ambayo huyapati nyumbani kwako, wenyewe wanasema kuwa wanaenziwa kwa mepenzi shatasha... (Dis)..... Gharama zake sasa ni balaa, kama unazo zinaweza kuisha, pili magonjwa nje nje kwa kuwa wewe ukienda kulala kwa mkeo huku nyuma na yeye anaingiza wake, kila kitu, (tatu) kuna uwezekano wa kulishwa limbwata na kukufanya uisahau familia yako mpaka pale utakapopukutishwa kila kitu. kwa uchache mi nazijua hizo , sijui wengine.
 
Mimi naona hasara zaidi kuliko faida. Faida ni matamanio ya mwili and temporary mental satisfaction, hasara ni kuwa pesa inaptea, uambukizaji wa maradhi unazidi, inasambaratisha famili iliyo bora ambayo inadhuru jamii kwa ujumla. Inatoa mapenzi kwa wahusika
 
Wakubwa kwenye jf hasa wale wenye uzoefu wa kutunza nyumba ndogo au wanaotunzwa kama nyumba ndogo, ni faida na hasara gani zinapatikana kiuchumi na kijamii kwa ujumla.

Nawasilisha hoja

Si nyumba ndogo ita NYUMBA MUHIMU
 
Ila thread kama hii ilishawahi letwa hapa,sasa uwe makini na majibu yoyote. Zaidi tamaa za mwili ila kama huna NYUMBA MUHIMU lazima uwe tayari wenye jazba.
 
nyumba nddogo ni temporary, halafu kweli kuna faida lakini ukizilinganisha na hasara zake utaona kuwa hasara ni nyingi halafu ni mbaya zaid kama hizo za magonjwa, bankrupty inakuhusu pia, kupigwa juju ukasahau family lakn pia wakati kiamin kuwa uantafuta nyumba ndogo ili kupunguza stress za mkeo unaweza kuta unaziongeza hasa pale matumiz na mapenz yanapopungua home kwa sabab ya nyumba ndogo, cha msingi jarib kuboresha mahusiano yako na mkeo, ongeeni, fanyeni yale ambayo wote mnayapenda, tanianeni, haf kuwen wabunifu, zaid kuwa muwaz kwa mwenzio, uataenjoy zaid. mwisho ww ni mtu mzima unajua unachokifanya ila pima faida na hasara then draw ua own conclusion.
 
Back
Top Bottom