Faida 6 za kuishi maisha ya ukapera

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika
 
sikubalian na wewe,othewise sema faida za kuchelewa kuoa,or faida za kutokuwepo ktk oficial mariage,au faida za kua na bimboz. .bt hapo. .ni ziro
 
Pole sana kapela!, nyie ndo tunakuta mmejitundika kamba shingoni kwa upweke! Kama viungo vya uzazi havifanyi kazi pole sana, hakuna raha duniani kama ku-do!, na kama ni kapela unaehangaika huko na huko kutafuta mwenza basi sio kapela wa hiari, umelazimika.
 
huko ni kutokujiamini tu. Sababu zote sita hazina uzito wowote.
 
Umekosa nini! Hakuna faida hata kidogo ya kuwa alone zaidi ya kuwa mpweke. hujui kuwa hizo pressure ndio raha zenyewe za kwenye mahusiano! Halafu unajichanganya unaposema "UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE" Baadae ni lini? baadae ya kila mtu ni pale anapopata mwenza, na ukishapata huyo maana yake tayari hauishi tena alone.
 
Huyu sina shaka keshafumwa huko kwa hiyo anataka kundi la kumuunga mkono...kwa taarifa yako maisha nayoishi baada ya kumpata Tupilike ni bora maradufu kuliko wakati nikiishi bila yeye! Nimekomaa kimaamuzi na nimepiga hatua kimaisha as well!
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika

U r wrong. Hayo yote sioni faida hata moja zaidi ya frustuations. Zaidi zaidi kwa mtu anayetaka kuwa komba komba ataona faida.
Anyway kuna big 5 zinatesa sana ukiwa mtu wa viwanja kupitiliza.
 
hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana
1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE

hapo umenichanganya
 
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake

hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana

1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali

2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi

3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.

4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha

5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika

Hizo nyekundu nimezikubali kabisa.
 
Back
Top Bottom