Fahamu zaidi kuhusu 'Submarine' ya Titan iliyotoweka kwa siku 4 na kuua watu 5

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Siku 4 za utafutaji wa 'Submarine' ya Titan zimetamatika Juni 22, 2023 kwa kutolewa taarifa mbaya ya kufariki kwa Watu 5 waliokuwa ndani yake wakielekea kutalii katika eneo yalipo Mabaki ya Meli ya Titanic.

Jeshi la Wanamaji la Marekani (US Navy) limeripoti kuwa kilisikia kishindo saa chache baada ya Titan kupoteza mawasiliano, kishindo ambacho kimethibitisha kuwa Chombo hicho kilipata hitilafu na kulipuka kwa ndani.

Waliofariki ni pamoja na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa OceanGate Expeditions, Stockton Rush, Bilionea wa Uingereza Hamish Harding, Mzamiaji Mashuhuri wa Ufaransa Paul-Henri Nargeolet, Mfanyabiashara wa Pakistani Shahzada Dawood na mtoto wake wa kiume Suleman.

NYAMBIZI YA TITAN (1).jpg

NYAMBIZI YA TITAN (2).jpg

NYAMBIZI YA TITAN (3).jpg

NYAMBIZI YA TITAN (4).jpg

NYAMBIZI YA TITAN (5).jpg

NYAMBIZI YA TITAN (6).jpg

NYAMBIZI YA TITAN (7).jpg

NYAMBIZI YA TITAN (8).jpg

==

All five men on board the missing Titan submersible were declared dead after it was found that the craft imploded near the site of the shipwreck, authorities announced Thursday.

Hollywood filmmaker James Cameron revealed that he received the information within 24 hours of the disappearance of the submersible that it had imploded when it lost communication with its mothership.

The director of the 1997 Oscar-winning film Titanic, said he received confirmation of a “loud bang” within an hour and that the last week had “felt like a prolonged and nightmarish charade”.

His statement comes after Wall Street Journal reported that secret US Navy underwater microphones detected the Titan sub’s implosion several days ago.

OceanGate Expeditions founder and CEO Stockton Rush, British billionaire Hamish Harding, renowned French diver Paul-Henri Nargeolet, Pakistani businessman Shahzada Dawood and his 19-year-old son Suleman were all aboard the Titan.

The Navy used a top secret acoustic detection system to search for any sign of the OceanGate Expeditions submersible soon after it was reported missing on Sunday, a US Defence official said.
 
Kwanini hicho kifaa kisingekuwa kinabebwa na meli maalu hadi yalipo hayo mabaki ya Titanic hala kinashushwa na kuanza kuzamia chenyewe kuliko kusafiri kilimita 600+ ndani ya maji?

Hicho ndo ambacho hufanyka. Kinabebwa hadi eneo husika kama pichani wakifika pale ndo kinashushwa. Kinatembea 4km/h meaning 600km kingetumia masaa 150 wakati kinabeba oxygen ya masaa 96 tu.
 
Siku 4 za utafutaji wa 'Submarine' ya Titan zimetamatika Juni 22, 2023 kwa kutolewa taarifa mbaya ya kufariki kwa Watu 5 waliokuwa ndani yake wakielekea kutalii katika eneo yalipo Mabaki ya Meli ya Titanic.

Jeshi la Wanamaji la Marekani (US Navy) limeripoti kuwa kilisikia kishindo saa chache baada ya Titan kupoteza mawasiliano, kishindo ambacho kimethibitisha kuwa Chombo hicho kilipata hitilafu na kulipuka kwa ndani.

Waliofariki ni pamoja na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa OceanGate Expeditions, Stockton Rush, Bilionea wa Uingereza Hamish Harding, Mzamiaji Mashuhuri wa Ufaransa Paul-Henri Nargeolet, Mfanyabiashara wa Pakistani Shahzada Dawood na mtoto wake wa kiume Suleman.

View attachment 2666343
View attachment 2666344
View attachment 2666346
View attachment 2666347
View attachment 2666349
View attachment 2666350
View attachment 2666351
View attachment 2666352
==

All five men on board the missing Titan submersible were declared dead after it was found that the craft imploded near the site of the shipwreck, authorities announced Thursday.

Hollywood filmmaker James Cameron revealed that he received the information within 24 hours of the disappearance of the submersible that it had imploded when it lost communication with its mothership.

The director of the 1997 Oscar-winning film Titanic, said he received confirmation of a “loud bang” within an hour and that the last week had “felt like a prolonged and nightmarish charade”.

His statement comes after Wall Street Journal reported that secret US Navy underwater microphones detected the Titan sub’s implosion several days ago.

OceanGate Expeditions founder and CEO Stockton Rush, British billionaire Hamish Harding, renowned French diver Paul-Henri Nargeolet, Pakistani businessman Shahzada Dawood and his 19-year-old son Suleman were all aboard the Titan.

The Navy used a top secret acoustic detection system to search for any sign of the OceanGate Expeditions submersible soon after it was reported missing on Sunday, a US Defence official said.
Kilichoipiga hio picha Ni Nini?

Na Kama inasafiri mwendo wa 4kph iweje itumie masaa 11 ..hayo masaa 11 Ni kwenda wapi
 
Waiskate tamaa ma Don wanaweza wakawa bado wanaogelea kurudi juu waendelee kuwatafua
 
Project yoyote ya technology ya sasa kama hajashiriki Elon musk sio ya kuamini na kushiriki.
 
Back
Top Bottom