Fahamu siri kubwa iliyopo nyuma ya namba 13

Ndiyo maana ule Uhuru wa Zanzibar wa akina Abrahaman Babu wa tarehe 13/12/1963 ulionekana batili na ule wa akina Karume wa 12/01/1964 ulikubalika hadi ktk historia.
 
Kwakupuuza mambo ya mila na desturi , ndio maana madhara yanayupata kila siku
 
Kwenye mpira jezi namba 13 mara nyingi huvaliwa na golikipa tena wale wanaokaa benchi.

Michael Ballack ambaye enzi anacheza alipenda kuvaa jezi namba 13 nae amekutwa na maswahibu ya mkosi wa namba hiyo kama ifuatavyo:

2002 - Ballack akiwa Bayer Leverkusen alifungwa Fainali ya Uefa Champions League na Real Madrid

2002 - Ballack na timu ya taifa ya Ujerumani walifungwa fainali ya kombe la dunia na taji hilo kwenda Brazil.

2008 - Ballack akiwa na Chelsea walifungwa fainali ya Uefa na Man Utd

2008- Ballack akiwa na Ujerumani wanafungwa fainali ya Euro dhidi ya Hispania.

Huo ni mfano wa mkosi alioupata Michael Ballack akiwa na jezi namba 13 katika hizo fainali.
Kwa Michael Ballack kuna ukweli mkuu ila sio wa sahihi kabisa. Nakumbuka alivunjwa mguu na Kevin prince boating aka miss fainal za kombe la dunia 2010.

Ngoja nikupe mfano wa walitumia namba 13 na mambo yapo vizuri uwanjani.
Thomas Muller kazaliwa tarehe 13, anavaa namba 13 akiwa na timu yake ya taifa ya ujerumani.
Ujerumani imechukua kombe la dunia 2014 jamaa akiwa na hiyo namba. 13.
Thibault Courtois akiwa Chelsea na namba 13 kachukua makombe.

Kwa kifupi mkuu hii namba haina shida kwa wale wamuabudio MUNGU ila ina shida kwa waabudu shetani.
 
Kwa Michael Ballack kuna ukweli mkuu ila sio wa sahihi kabisa. Nakumbuka alivunjwa mguu na Kevin prince boating aka miss fainal za kombe la dunia 2010.

Ngoja nikupe mfano wa walitumia namba 13 na mambo yapo vizuri uwanjani.
Thomas Muller kazaliwa tarehe 13, anavaa namba 13 akiwa na timu yake ya taifa ya ujerumani.
Ujerumani imechukua kombe la dunia 2014 jamaa akiwa na hiyo namba. 13.
Thibault Courtois akiwa Chelsea na namba 13 kachukua makombe.

Kwa kifupi mkuu hii namba haina shida kwa wale wamuabudio MUNGU ila ina shida kwa waabudu shetani.
Duh noma sana
 
Kwa mujibu wa wanajimu,wasema kuna idadi ndogo sana duniani ya watu waliozaliwa tarehe 13,wengi wao hufariki dunia wakiwa watoto wadogo sana na endapo wakifanikiwa kukua na kuishi wanakuwa si wa kawaida.....jaribu kufatilia utabaini kwani hata Nyerere alizaliwa tarehe hiyo,fatilia kwa makini hata wewe watu wanakuchukuliaje mtaani kwenu...
mmmh mimi nimezaliwa tareh 13/6.... mama yangu alizaliwa tareh 13/7.....!! mmmh
 
Mimi nimezaliwa tarehe 13 nimebarikiwa mpaka najishangaa,labda ndio maajabu ya namba 13
Katika harakati zangu za hapa na pale nimekuja kugundua jambo kuhusu hii namba 13,huku wengi wakiihusisha namba hiyo na nguvu za kishetani...mfano mdogo karibia hoteli zote duniani hakuna chumba namba 13,badala yake wanaweka chumba namba 12A na 12B.

Kibiashara pia tarehe 13 inahusishwa kuwa ni siku ya kutoa sadaka kwa mizimu,mara nyingi siku hii inakuwa haina faida kwao,mauzo yanashuka kiasi.

Kwenye usafiri,mara nyingi watu wenye nguvu za giza hawezi kukaa siti namba 13,wengi wanaikwepa.....fanya utafiti utagundua.

Kwa wafanyakazi maofisini kuanzia siku ya 13 kunakuwaga na nuksi na mifarakano ya hapa na pale.

Ukienda Mahospitalini Kitanda namba 13 kinachukua sana uhai wa watu,kwa waliokomaa kwenye nguvu za kishetani huwezi kumlaza kitanda hicho yuko radhi akaugulie nyumbani au ahame kitanda kuliko kulala hicho kitanda.

Bado nafatilia kwenye mambo ya ndoa na kifamilia ili niweze kubaini 13 ina nafasi gani kwenye sehemu hizo.

Kama ulikuwa hujui jaribu kufatilia kuanzia leo utapata ukweli,....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom