hujui chochote na hutojua....watu wa Tanga tunajua, ulishawah skia wazee wa Tanga wavivu wanakesha kwenye bao?....Hailipi hyo biashara
muda wowote, na huvunwa baada ya miaka 4 mpaka 5Naomba hints mda gani unatakiwa kupanda mpaka kuvuna mkonge
muda wowote, na huvunwa baada ya miaka 4 mpaka 5
Kwa sasa ananunua mchina...ndo alishinda tender ya kununua mkonge..soko lipo..na ananunua bei nzuri tu, kwa wale ambao wako tanga wala hatuna shida kwenye uvunaji wala ulishaji (production) ni kiwanda kinafanya yote, kazi yako ni ku sign na kupokea pesa tu.Ukishavuna soko unaenda kuuza wapi?
kwa hiyo unamaanisha hapo pembeni ya mashamba yenu ndio kuna viwanda?Kwa sasa ananunua mchina...ndo alishinda tender ya kununua mkonge..soko lipo..na ananunua bei nzuri tu, kwa wale ambao wako tanga wala hatuna shida kwenye uvunaji wala ulishaji (production) ni kiwanda kinafanya yote, kazi yako ni ku sign na kupokea pesa tu.
yapo jirani.....mengine yapo zaidi ya 20km.kwa hiyo unamaanisha hapo pembeni ya mashamba yenu ndio kuna viwanda?
yapo jirani.....mengine yapo zaidi ya 20km.
sema wakulima wapo wengi na mashamba ni mengi pia, nandomana hata shamba likiwa mbali trekta litafata mzigo popote na litapeleka kiwandani, trekta linakuwa la kiwanda, all operations cost unakatwa ila si kiasi kikubwa sana.
Hukosi laki tano kwa ekarikwa mfano ukiwa na hekari moja ya mkonge baada ya mavuno unapata pesa ngapi kama faida?
tunalima kwa hekta mkuu, nkimaanisha heka mbil..hapa itatgmea na singa za mkonge wako, nadhani mtoa mada juu kaeleza UG na SS kwa kina...ila kwa makadirio ya kawaida ni kila hekta mill 3 apo umetoa oparation costs .kama mkonge wko uko vzuri..kama una hekta 12, kweny 30 mill unapiga vzuri tu bila shida ukitoa all costs.kwa mfano ukiwa na hekari moja ya mkonge baada ya mavuno unapata pesa ngapi kama faida?
Hukosi laki tano kwa ekari
Kwa ekari moja mavuno yana thamani isiopungua sh milioni moja na laki mbili
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
hembu eleza vizuri, mbona kama una changanya watu mkuu?Hukosi laki tano kwa ekari
Kwa ekari moja mavuno yana thamani isiopungua sh milioni moja na laki mbili
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Faida ya laki tano kila mwaka na hili zao kama kumbukumbu zangu ziko sawa ukianza kuvuna unaendelea unavuna miaka mingi sanakwa hyo mkuu kwa mtu aliyelima heka moja inabidi asubilie faida ya laki 5 baada ya miaka 4?
mbona hailipi
Na kwanini ulime ekari moja tu? Lima ekari kuanzia tano hivi which means ukishaanza kuvuna ni kila mwaka una uhakika wa kushika milioni moja na laki mbili kwa kila hekari so kama umelima ekari hamsini ina maana una uhakika wa kushika milioni 60 kila mwakakwa hyo mkuu kwa mtu aliyelima heka moja inabidi asubilie faida ya laki 5 baada ya miaka 4?
mbona hailipi
mkuu umehadithiwa au unalima mkonge?Faida ya laki tano kila mwaka na hili zao kama kumbukumbu zangu ziko sawa ukianza kuvuna unaendelea unavuna miaka mingi sana
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
lipo hekta 12 sawa na ekari 30..mill 48.Wakuu mmeongea mengi kuhusu mkonge na inavutia kwa uwekezaji wa mda mrefu.
Naomba wenye connection ya kupata mashamba yaliyo karibu na sehemu hizo wafunguke na bei zake kwa ekari. Natumaini hilo litakuwa Jambo jema.