Mkuu weka bei kwa kilo au gunia la kilo 100..Husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Uzi huu ni maalum kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao ili kupeana taarifa za bei za mazao katika mikoa mbalimbali
Mimi naanza hivi
Morogoro tarehe 31/05/2017 wilayani kilosa mahindi mapya yanauzwa sado moja ni kati ya 1000shs mpaka 1500shs na gunia la sado 30 ni 30000/= hadi 45000/=
*sado moja ni sawa na kilo 4 hadi 5 inategemea na uzito wa mahindi.
Mkuu ni kweli sado si kipimo rasmi ndio maana nikaelezea chini kabisa ya Uzi. Huku wananunua mahindi kwa kipimo hicho na si kwa kilo ila sado moja linachukua kilo 4 au 5 za mahindi inategemea na uzito wa mahindiMkuu weka bei kwa kilo au gunia la kilo 100..
hicho kipimo chako cha sado sio rasmi..
Umejibu vizuri kwa maana hiyo gunia linakuwa na kg 120Mkuu ni kweli sado si kipimo rasmi ndio maana nikaelezea chini kabisa ya Uzi. Huku wananunua mahindi kwa kipimo hicho na si kwa kilo ila sado moja linachukua kilo 4 au 5 za mahindi inategemea na uzito wa mahindi
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Uzi huu ni maalum kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao ili kupeana taarifa za bei za mazao katika mikoa mbalimbali
Mimi naanza hivi
Morogoro tarehe 31/05/2017 wilayani kilosa mahindi mapya yanauzwa sado moja ni kati ya 1000shs mpaka 1500shs na gunia la sado 30 ni 30000/= hadi 45000/=
*sado moja ni sawa na kilo 4 hadi 5 inategemea na uzito wa mahindi.
Ndio mkuu unajua wakati wa kuvuna huu ukinunua mahindi kwa kilo utaumia kwa sababu wakati huo yatakuwa na uzito ila yakikauka huwa yanapungua uzito kwa hiyo huwa wanapima kwa hicho kipimo ili kuondoa sintofaham hiyoUmejibu vizuri kwa maana hiyo gunia linakuwa na kg 120
Sawa mkuu yapo mengi?Ndio mkuu unajua wakati wa kuvuna huu ukinunua mahindi kwa kilo utaumia kwa sababu wakati huo yatakuwa na uzito ila yakikauka huwa yanapungua uzito kwa hiyo huwa wanapima kwa hicho kipimo ili kuondoa sintofaham hiyo
Mahindi ya Dodoma hayavuki mpaka. Huku ni desertKwa anaejua bei ya mahindi dar,hasa yanayotoka mkoa wa dodoma atujuze
Mkuu hayo ya buku buku nikihitaji gunia 30 naweza kukusanya kwa siku tano?Husikeni na kichwa cha habari hapo juu
Uzi huu ni maalum kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao ili kupeana taarifa za bei za mazao katika mikoa mbalimbali
Mimi naanza hivi
Morogoro tarehe 31/05/2017 wilayani kilosa mahindi mapya yanauzwa sado moja ni kati ya 1000shs mpaka 1500shs na gunia la sado 30 ni 30000/= hadi 45000/=
*sado moja ni sawa na kilo 4 hadi 5 inategemea na uzito wa mahindi.
Yanavuka mkuuMahindi ya Dodoma hayavuki mpaka. Huku ni desert