fahamu kaul ya jussa

mak2

Member
Nov 27, 2011
19
5
kauli aloitoa Jussa si maneno yake bali ni maneno ya Cleopa Msuya mwaka 1995 aliposema CUF watashinda maeneo ya mjini tu ambako kuna waarabu wengi (alimaanisha waislamu).

Kwa mjua maana hujua maana (hayo yalikua majibu kwa CCM; kwa ambavyo nimemfahamu mimi)

Ni maneno ya kupiga kijembe kwa anayefahamu maana.:lol:
 
kauli aloitoa Jussa si maneno yake bali ni maneno ya Cleopa Msuya mwaka 1995 aliposema CUF watashinda maeneo ya mjini tu ambako kuna waarabu wengi (alimaanisha waislamu).

Kwa mjua maana hujua maana (hayo yalikua majibu kwa CCM; kwa ambavyo nimemfahamu mimi)

Ni maneno ya kupiga kijembe kwa anayefahamu maana.:lol:
Kuna yule myama ambae akizaa aweza kula watoto wake.
 
tarizo si wafuatiliaji wa siasa wala ya wanasiasa; wapiga stori mitaani tu.

Fuatilia kauli za Cleopa Msuya/na hata za CCM kwa miaka yote 1995-2005 dhidi ya CUF (kuihusisha na uislam; kwavile mgombea wa CCM alikua mkristo,Mkapa. :canada:2005 kidogo walibadilisha tactic kwasababu mgombea wa CCM alikua muislam).

Pia fuatilia kauli za CCM 2010 dhidi ya CHADEMA (kuihusisha na ukristo, ili Kikwete achaguliwe na waislam; sijui akija mgombea mkristo watakuja kuwaambia nini wananchi; manake CUF-waislam, CDM- wakristo)
Kwahivyo wao watakosa wapiga kura 2015.

Acheni siasa za kipuuzi za kutumiliwa na CCM bila ya kujijua; ni tactic zake za kutafuta kushinda na kila mara itakuja na mbinu mpya; waandishi wa habari wanatumika vibaya kuharibu demokrasia tanzania, wanacoat wanavyotaka wao halafu wanapotosha wananchi.

Kusema CUF wamekosa kura kwasababu ya kutoaminiwa na wakristo haina maana kama wao wanabase na udini; bali ndivyo historia ya masaibu ya vyama vyingi (kwa vile CUF walikua ndio wapinzani wao CCM, basi waliwapa doa hilo kwa wananchi la udini), na ndio maana wakasema kama bado hawajaaminiwa na jamii ya kikristo.

Ni kama sasahivi CCM walivyowatia doa CDM kuwa ni chama cha wakristo; pengine inaweza ikawawia vigumu waislam kuwasapoti, karibuni hapa Prof Safari na mwenzake katika operation ya kueradicate CCM katika mkoa wa daresalaam wametumika kama waislamu kupitia CDM kuwafahamisha waislam kuhusu CDm. Kwanini? Lakini hata hivyo hakuna magazeti wala mwandishi/muhariri wa gazeti aloandika negative kwa chama cha Chadema.

Mimi kama prodemocracy-sivamii kauli, natafuta msingi/kiini cha tatizo lenyewe.

 
Back
Top Bottom