The ORGASM of a PIG lasts 30 minutes!...
....najua mnatamani ingekua ivo kwenu!
Khaaaaaaaaa!
Bagah!!!!
Mumsamehe mdogo wangu ndo katoka ku cream biology ya form three ndo anakuja hapa kujaribisha kama kameza vizuri asije mix matango kwenye finale.... Big up Dr. BAGAH, tunakusubiri muhimbili university mzee, meza ili ustuaibishe kaka zako!
Yani unajua tangu Vivian amose Bagah hayuko vizuri,Mi nimeshangaa mara mbili mwaya!
Canty...nini tena Shemeji mkubwa!?
Si unajua shemeji yako kiinglish f,
Naomba tafsiri ya kiswahili lol!
Alafu una habari Mtei one leo kaopoa kitu cha ukweli????
Umebaki ww tu shem wangu!!!
nitoe tafsiri.?...umenichoka humu sio?...braza anaelewa atakutafsiria jion akirudi!
Mtei huyu player mwenzangu?kaopoa nani?..au kaokota kile kitu nilichotupa?...Bi desh desh
Hahaha hahha,
Asa shem mpaka usiku si ntachelewa kuja kukoment!!
Tafsiri tu mbona kiinglish umeandika na haijaleta madhara!!!
Nenda kule kwenye uzi wa eric aliomuanzishia mme wangu page ya 10 na 11 utaona jins mwenzio mtei anavokula gud time na kitu kitamu tena kipya!
Yani unajua tangu Vivian amose Bagah hayuko vizuri,
Sasa sijui hili kaota au?
Hahaha hahha,
Asa shem mpaka usiku si ntachelewa kuja kukoment!!
Tafsiri tu mbona kiinglish umeandika na haijaleta madhara!!!
Nenda kule kwenye uzi wa eric aliomuanzishia mme wangu page ya 10 na 11 utaona jins mwenzio mtei anavokula gud time na kitu kitamu tena kipya!
Hahhah hahahha hahahah,Shemeji yangu huyu tatizo hapendi commitment.. Thats why vivy kaogopa.. Sasa anabaki ku fantasize about orgasm! Lol..
Teh teh teh!!!afu nimekushtukia shem...kimombo unakijua...mbona umemwandikia Rejao braza bonge la POEM...sijui hata kama kaelewa kitu pale.