FACT ya leo: The ORGASM of a PIG...

Teh teh teh!!!
Kaka yako ndio ticha wangu atiiii!
Pale ndio nimejaribu,ila hiko kiinlishi chako ndio nimechemka hahaha!
Umemuona shemeji yako mpya kwa Mtei???

hivi nani kampigia pande?...ila nina mashaka iko namna...hii inaweza ikaishia kuwa ndoto...hebu rudi kule ukaone kashfa aliotupiwa Mtei na Amy
 
Mambo tu ya mahaba!

Ww umechangia kwa asilimia 80,umeweka kashfa za uongo,
Na umenikasirisha sana,hapa na mm najiandaa namna ya kukuharibia umeniuzi sana!!
 
we we we...shem mm simo bana...kazi ya Amy iyo km hujui...tehe
 
Back
Top Bottom