Facebook - people don't trust, facing rapid fall

Facebook imefunja ndoa za watu na kuharibu mahusiano ya watu, kwa vyo vyote mfumo wake ni mbovu na hauna privacy. Kila mtu anaweka kuweka uchafu wake kwenye wallpaper yako usipokuwa na uthibiti, na wengi wetu hawajui namna ya kuthibiti facebook profile yake kuwa private.
 
Acheni kuishambulia FB bana, mbona mi nimepata mchumba kupitia fb and in 2 months tutafunga ndoa?
Ninyi users ndo wabaya na wala sio mtandao wetu. Kila nikimuangalia my wife wangu to be nakumbuka facebook.
Long live Facebook:poa
 
Na hiyo hoyo FESIBUKU ndiyo itakayomuondoa kwako, usisahau eeh!

Huyo si wa FESIBUKU?!
 
Umemwambia ukweli, kwani mpaka sasa hajui huko facebook alikokutana naye huyu alikuwa na miada na wangapi hali kahdalika yeye mwenyewe anayetetea. Je nini kinaendelea katika facebook baada ya yeye kumpata huyo?
 
Acheni kuishambulia FB bana, mbona mi nimepata mchumba kupitia fb and in 2 months tutafunga ndoa?
Ninyi users ndo wabaya na wala sio mtandao wetu. Kila nikimuangalia my wife wangu to be nakumbuka facebook.
Long live Facebook:poa

Mada hii haijabuniwa nami, ila wataalamu wa ilikoanzia ndio wanaoijadili.

Jaribu kufungua mdao nilikuletea, soma, sikiliza video ndio ukanushe wayasemayo katika utafiti wao.
 
Na hiyo hoyo FESIBUKU ndiyo itakayomuondoa kwako, usisahau eeh!

Huyo si wa FESIBUKU?!

What makes you think he'll leave? Kwani hizi talaka zimeanza 2004 after the invention of FB? Nini basi kilikuwa kinawaondoa wanawake/wanaume kwa wenzi wao? Or just b'se you are the victim of of one of FB's users then you think everybody will be? You guys when will you stop generalizing?:nerd:
 
Mada hii haijabuniwa nami, ila wataalamu wa ilikoanzia ndio wanaoijadili.

Jaribu kufungua mdao nilikuletea, soma, sikiliza video ndio ukanushe wayasemayo katika utafiti wao.

Uzuri ni kwamba this "Belief" of yours can only be proved by "Minority and Majority theory" and NOT Scientifically.
So, anybody can say whatever he thinks or according to experience.
If you'd say kwamba Majority ya watumiaji wameathiriwa in one way or another, that would be Point. But not by making Generalization.:nerd:
 
Ina maana kabla ya Facebook ndoa zilikuwa zinadumu, hakukuwapo na cheating na divorce ilikuwa ni msamiati usiokuwapo? Acheni hizo basi, if u don't like it quit using it baaaaasi
 
Acheni kuishambulia FB bana, mbona mi nimepata mchumba kupitia fb and in 2 months tutafunga ndoa?
Ninyi users ndo wabaya na wala sio mtandao wetu. Kila nikimuangalia my wife wangu to be nakumbuka facebook.
Long live Facebook:poa
Kila kitu kina faida na hasara yake,muhimu ni kipi kina faida zaidi.
 
fb bana...how can you have 3,000 friendz and correspond to them all in daily basis? labda huna chochote cha kuwajibika hapa duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom