Facebook msgs in yahoo mail

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Wakuu naomba kujua kama inawezekana kublok facebook msgs zisiingie kwenye yahoo mail, coz inakuwa kero zinavyoingia mara mbili mbili(kwenye yahoo mail na kwenye facebook).
 
Wakuu naomba kujua kama inawezekana kublok facebook msgs zisiingie kwenye yahoo mail, coz inakuwa kero zinavyoingia mara mbili mbili(kwenye yahoo mail na kwenye facebook).

Mimi nilizispam ziwe zinaenda huko, sijui njia nyingine
 
Mimi nilizispam ziwe zinaenda huko, sijui njia nyingine

Baada ya kuzispam, unazipata kwenye facebook fresh tu? Mi kwenye simu natumia emoze mail alert. Je, msgs za facebook nitazipata kwenye emoze baada ya kuzispam kwenye yahoo mail?
 
alafu wakuu kuna tatizo nalipata kwenye yahoo mail..yani kwenye kulog in najaza everythn corectly lakin nikipres kulogn inanambia invalid adrec or pasword..sasa cjui tatizo ni nin..i need help kama kuna mwenye soln kwa hili
 
Hizo facebook messages ni kutoka kwenye account yako ya facebook au? Kama ni kutoka kwenye account yako basi zuia notifications zote kwenye facebook account settings; ila kama ni zile spams basi label emails zote zenye neno facebook (au kama yajirudia email address moja basi i block yenyewe) kama spams, ili zikienda kwenye spam msgs ziwe zinaji delete baada ya muda fulani.
 
alafu wakuu kuna tatizo nalipata kwenye yahoo mail..yani kwenye kulog in najaza everythn corectly lakin nikipres kulogn inanambia invalid adrec or pasword..sasa cjui tatizo ni nin..i need help kama kuna mwenye soln kwa hili

Unatumia simu kulog in? If yes, what kind of phone? Unatumia opera mini kwenye hiyo yahoo mail? If yes, ni opera mini gani(4,4.3,5,6.5 n.k).
 
Unatumia simu kulog in? If yes, what kind of phone? Unatumia opera mini kwenye hiyo yahoo mail? If yes, ni opera mini gani(4,4.3,5,6.5 n.k).

Angalia speed ya internet yako kama ni ndogo tatizo hilo hutokea na hasa kama unatumia yahoo mail beta
 
Nenda kwenye facebook yako pale chini kabisa ingia setting then facebook notification (manage facebook notification) anza ku Unmark moja baada ya nyingine ili zisiwe zinatumwa kwenye mail adress yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom