Fabrice muamba astaafu soka rasmi

erastor

Member
May 8, 2012
19
2
Fabrice Muamba Atundika daruga katika ulimwengu wa soka baada ya ushauri kutoka kwa madaktari wake wa ugonjwa wa moyo
 
ni kweli lakini clabu yake walisema maisha yake yote yatakuwa bolton yaani kuanzia chupi na kila kitu daaa ingekuwa bongo angekwenda kulima tumbaku.
 
Jopo la madaktari limekaa baada ya kumfanyia uchunguzi wa afya yake na kugundua kua kuendelea kucheza soka ni kuhatarisha uhai wake.hivyo PATRICE MUAMBA mkongomani aliekua akichezea bolton wonderas ametangaza kuacha kucheza mpira wa miguu.ikumbukwe kua mchezaji huyo alianguka uwanjani baada ya kupatwa na matatizo kwenye moyo wake.
 
..ameuacha akiwa bado anaupenda, yote mipango ya mungu fabric hakka yuko nawe bado kwa maana unapumua.
 
Back
Top Bottom