Ezekiel Malongo aliyekuwa mtangazaji wa vipindi vya michezo RTD

mchecheto

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
1,532
1,452
Hodi humu,

Jamani mimi ni mpenzi wa soka tangu zamani.Najitokeza humu kuuliza anayefahamu taarifa yoyote ya aliyekuwa mtangazaji maarufu wa michezo wakati huo TBC ikiwa inaitwa RTD.

Huyu mtangazaji anaitwa EZEKIEL MALONGO,nilipendaga sana utangazaji wake yeye akiwa na JESE JOHN ambaye bado yupo TBC ila huyu EZEKIEL MALONGO nna miaka zaidi ya kumi sijui alipo.

Mwenye info zake aniambie plz.
 
yupo jijini Dar Es Salaam, ila hayupo kazini ameachishwa kutokana na ulevi cha msingi akiacha pombe kituo chochote kinaweza kikamchukua.

jamaa na elimu ya kutosha lakini "POMBE MBAYA SANA" imemcost.
 
Daaah pole yake...
 
Back
Top Bottom