Ezekia Wenje: Hayati Magufuli asingevumilia majizi waliotajwa na CAG

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.

20230407_182946.jpg
 
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Mbona Jilala umevumilia au wewe sio mtu🤔
 
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Yule ndo alikuwa Rais sahihi kwa akili ya wtz maana wengi wamesoma ila hawana akili tz ni Dola ya watu selfish sana na tuendako ni kubaya sana tunatengeneza kundi la watu watakao weza kuamua nani awe nani
Watanunua tasisi zote na kuzidhofisha Sasa
Hizo pesa zinazoibwa Zina makusudi yake kwa malengo waliojiwekea

Wengi hamtanielewa ila Kuna muda ukifika mtakuja elewa
 
Kwani Kuna anayekataa JPM alikua anapambana na mafisadi? Wapinzani hatukugombana na JPM sababu ya kupambana na ufisadi ila masuala kama utawala Bora, kuharibu uchumi, kuua sekta binafsi, kuua wakosoaji, kulipunguzia bunge nguvu, kuingilia masoko mfano korosho, kutugawa kikabila na kikanda, kuandaa bajeti zisizo tekelezwa hata kwa 50%, kuminya media, kupunguza mamlaka ya bunge hasa kwenye kuisimamia serikali, kumtimu CAG kisa kuhoji kwanini haruhusiwi kukagua miradi ya kimkakati n.k.

So msifiche madudu ya JPM kwenye kitu kimoja alichojaribu kukifanya best (ingawa alifeli pia).
 
Mwambie hayo maneno wenje
 
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Mwambie amfuate kaburini. Amesahau angekuwepo Magufuli hata hiyo taarifa ya CAG isingesomwa.
 
Yule ndo alikuwa Rais sahihi kwa akili ya wtz maana wengi wamesoma ila hawana akili tz ni Dola ya watu selfish sana na tuendako ni kubaya sana tunatengeneza kundi la watu watakao weza kuamua nani awe nani
Watanunua tasisi zote na kuzidhofisha Sasa
Hizo pesa zinazoibwa Zina makusudi yake kwa malengo waliojiwekea

Wengi hamtanielewa ila Kuna muda ukifika mtakuja elewa
Hapa duniani kuna mtu anamfikia Magufuli kwa ubinafsi? Hauko serious bwana mdogo.
 
Kutumbua ni jambo moja, pesa kurudi ni jambo lingine.

Tumbua, kamata Kila kitu Hadi arudishe pesa.

Unaambiwa majuzi yaliyobanwa na Magu Kwa please bargaining Eti yanaomba yarudishiwe pesa zao wakati ndo yaliyogawana pesa za Escrow.
 
Wenje ana akili kuliko ufipa yote
 
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Ilemela jijini Mwanza kupitia Chadema bwana Ezeckia Wenje baada ya kusoma ufisadi uliopo kwenye ripoti ya CAG amelazimika kumkumbuka aliyekuwa rais wa tano wa nchi yetu kwamba angekuwepo wote waliotajwa kwenye hiyo ripoti angeshawatumbua tayari.View attachment 2579906
Vipi reaction ya magufuli CAG professor Assad alipobainisha wizi/ufisadi wa 1.5T?
 
Hiki ndicho nimekuwa nikisema kwamba,

Wengi wa watanzania ni watu wanafiki na wasiopenda kusema ukweli wa mioyo yao!

Ndani yao wanakiri uwezo na umadhubuti wa usimamizi wa JPM lakini kwa nje wanatofautina na hicho cha ndani yao! Huo ni upumbavu

Na upumbavu huu upo kwa watanzania wengi sana! Na ndiyo maana hatuwezi kujua tunachokitaka kama nchi!

Ukimuuliza leo Wenje kwamba anataka kiongozi gani atakupa sifa zote za anayemtaka, ila akija kupatikana hatomkumbali hata kwa dawa!
 
Mwambie hayo maneno wenje
Weka hotuba yote, mbona amesema wizi wa uchaguzi wa 2020 uliosababishwa na JPM ndio umepelekea bunge kukosa meno maana hakuna wapinzani Tena. Ndio kubalance akasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndio akataja mazuri yake!!
 
Ndani yao wanakiri uwezo na umadhubuti wa usimamizi wa JPM lakini kwa nje wanatofautina na hicho cha ndani yao! Huo ni upumbavu
Kwani Kuna mpinzani aliwahi mkosoa JPM kwa kutumbua majipu au kukamata mafisadi? Tatizo la wapinzani lilikua masuala ya utawala Bora na uwajibikaji wa serikali kupitia bunge, wapinzani, ukaguzi n.k mambo ambayo magufuli aliyadhibiti. Hivi angewapa uhuru huku anatumbua mafisadi unadhani upinzani wangekua na shida naye?

Hata Kagame kanyoosha mafisadi na kapanua uchumi ila why anachukiwa hivo? Sababu ya UTAWALA BORA basi mengine yote yanamfanya kuwa best president ever.
 
Mwambie amfuate kaburini. Amesahau angekuwepo Magufuli hata hiyo taarifa ya CAG isingesomwa.
Angekuwepo yule Ngosha madarakani CAG gani angethubutu kuanika uozo kama huo kwenye report? aAngekesha ana edit ili kumfurahisha yule jamaa tushukuru huyu mama anaruhusu taarifa iwasilishwe as prepared by CAG
 
Back
Top Bottom