Extra-port charges (imported car)

Jemedaree

JF-Expert Member
Nov 22, 2021
673
1,993
Habari ndugu zangu!

Nimeagiza gari ambayo natarajia kufika hivi karibuni
Hii ni mara yangu ya kwanza kuagiza mwenyewe bila Agent, kuanzia kuchagua mpaka malipo na hata documents zimeshatumwa kwangu kwa DHL

Gari ni Toyota Crown Athlete GRS 182.

Nimeagiza kampuni ya SBT
CIF $3150

sasa kilichonileta hapa SIO KODI YA TRA bali ni kutaka kujua hizo extra-port charges tu specific kwa gari hii maana natumaini ni gari common na watu wengi wameshaagiza toka japan

-handling fee
-Corridor Levy
-Wharfage
-shipping line
-port charges


Na nyingine amabayo sija mention hapo
Natanguliza Shukrani zangu


IMG_1769.jpg
 
Habari ndugu zangu!
Nmeagiza gari ambayo natarajia kufika hivi karibuni
Hii ni mara yangu ya kwanza kuagiza mwenyewe bila Agent,kuanzia kuchagua mpaka malipo na hata documents zimeshatumwa kwangu kwa DHL

Gari ni Toyota Crown Athlete GRS 182
Nmeagiza kampuni ya SBT
CIF $3150

sasa kilichonileta hapa SIO KODI YA TRA bali ni kutaka kujua hizo extra-port charges tu specific kwa gari hii maana natumaini ni gari common na watu wengi wameshaagiza toka japan

-handling fee
-Corridor Levy
-Wharfage
-shipping line
-port charges


Na nyingine amabayo sija mention hapo
Natanguliza Shukrani zangu


View attachment 2644346
Fanya vyote ila isizidi 2.3m juu ya hapo jua umepigwa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom