Excuse me! Hii ndio siri kubwa ya supplimentary vyuoni

Nikhil

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
361
116
Inakuaaaaaaaajeeeeee!

Asee vyuo vingi hapa tz nimefanya tathmini nimegundua tatzo kubwa la collegeous wengi ku supp ni kufelishwa maksudi kwa sababu ya mkwanja mnene unaotolewa na wanachuo ili kusapua. Daaaah inauma sana asee ukiangalia kama vyuo vya private especially kam college mwaka juzi co wamesupp wengi na kusapua ni laki 6 daah ukicheki umesoma miaka 3 ada pesa mingi then umeambulia supp haiingiiakilini kabisaaaa.

wakuu kama kuna sababu nyingine zinazopelekea massive ku supp tupia kwenye hii .thread mpaka kieleweke!

Hv a gud day
 
Inakuaaaaaaaajeeeeee!

Asee vyuo vingi hapa tz nimefanya tathmini nimegundua tatzo kubwa la collegeous wengi ku supp ni kufelishwa maksudi kwa sababu ya mkwanja mnene unaotolewa na wanachuo ili kusapua. Daaaah inauma sana asee ukiangalia kama vyuo vya private especially kam college mwaka juzi co wamesupp wengi na kusapua ni laki 6 daah ukicheki umesoma miaka 3 ada pesa mingi then umeambulia supp haiingiiakilini kabisaaaa.

wakuu kama kuna sababu nyingine zinazopelekea massive ku supp tupia kwenye hii .thread mpaka kieleweke!

Hv a gud day


pole sana kwa sababu nawe inaonekana ni mmoja ya watu wanaosap sana kila mwaka, lakini pia nimejiuliza maswali yafuatayo

1. huo utafiti/tathimini yako umeifanya fanya vipi na katika vyou gani na kutumia method gani?
2. unaposema mtu unasoma miaka mitatu unaishia kusap unamaana gani? kwani kusap ndo mwisho wa chuo?
3. huo mkwanja mmene unaotelewa kwa wanaochuo wanaosap huwa unatolewa na nani na unapokelewa na nani?
4. je mwalimu akikufelisha kwa upande wake hufikiri kuwa kuna madhara? au vyou vyenu vya kata hakunaga average ya sap below which mwalimu wa somo anakuwa katika kitimoto?
 
hahaha yani kuchomoa sup mpaka pesa sasa hiyo pesa nani huwa anachukua?
 
Nakuunga mkono,unaweza kusapp kweli ila kuchomoa ni mziki,yalinikuta nikiwa chuo km co kuwa makini ningerudia mwaka kwa tamaa za pesa,alinisaidia mtu kufuatilia kwa akili wakadai ni makosa ya typing kweli issue serious km hii utakuwaje mzembe kwny kuifanya then wakaguzi pia hawakuona hl kosa?
 
Ni kwel kabisa mi yamenikuta na huwa nikifikiria naumia sanaa ila matatizo tumeumbiwa binadamu nilisoma chuo flani hapa tz niliponza na kitu kidogo sana nilipata sapu moja jamaa wakasema tutoe kidgo me nikaona haiwezekan nitoe hiyo pesa koz nilikuwa najiamini na hata hiyo sapu sielewi niliipataje nakesema sio mbaya ngoja nicarry ili niipge fresh next year duhh sikuamin macho yangu matokeo yalivyotoka yan nina grade mbaya ambayo kinamna yoyote ni kitu ambacho kilikuwa hakiwezekani kwa course work niliyokuwa nayo ila nakapiga moyo konde nikapiga sapu jamaa akazingua tena ndo ikawa mwisho wa bachelor yangu kumbuka hapo nishasoma mpaka mwaka wa tatu yan nsubir kugraduate nimepiga fresh hiyo tu ndo ilkuwa sapu pekee niliyowahi ipata na ikanidisco ila sikukata tamaa nikaanza maisha mapya na nshukuru mungu ninasonga mbelee nshasahau hayoo yaliyopita.
 
Waongo nyie. Hamsomi mnalalamika tu

Wanashinda Billicanas na Sun Cirro"…mbaya zaidi utakuta wanaachaa hadi madaftari yao club…wahudu wa club hzo imefika wakat mpaka wanachukua namba za CR's (classes's representantives) kutoka vyuo vya CBE,UDSM,DIT,DUCE,TIA,IFM kwa emergences kama hizo…
Then unakuja kulalamika hapa
 
Kusoma husomi unategemea miujiza.
Hakuna miujiza kwenye mitihani kama jana ulikuwa club
 
Back
Top Bottom