EXCLUSIVE: Wanaohitaji Michoro ya Ramani za Nyumba ndogo na simple

Kwa watu gani?? weka bei japo tentative tu tupate clues

Hivi tutakuwa tunajadili bei hapa wakati kila mtu ana dream house yake na techinical design tofauti, vile vile ukokotoaji wa bei ya design ya jengo lako unafahamika mkuu. Nikusisitize kitu kimoja ni kuwa "Architects we are meant to provide ideas about client's dream house, but we are not selling drawings".
 
Well said and noted that, ndio maana hata madukani huwa pana price tags so MTU wachukua kitu tokana na needs zake!

Ntakutafuta kwa ideas
 
Ofaaaa
Vyumba 3, katika plot size ya 15x20 inachukua 9x10m za eneo.
Ndani kuna jiko, public toilet, sitting, vyumba 2, masterbedroom.
 
Four bedroom house, Mpangilio uko hivi:
-Masterbedroom,
-vyumba viwili vya kawaida,
-studyroom/library,
-family toilet & common toilet,
-sitting/lounge,
-dining room, kitchen & Store.

Inatosha vizuri kwenye kiwanja cha 25x30 mita za eneo.
 
Hawa mimi hawanisumbui hawana lolote hizi Pic wanadownload kwenye mitandao hawana lolote hata hawajielewi kule fb ndiyo wamefungua mapage kibao wanadrop hizi Pic za mitandao,kuna kipindi nilikuwa ---- nikaamini wanachora kweli nikawatafuta hawana ramani hata moja wanataka kujifunzia kwangu,msipoteze mda wenu na hawa watu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wewe Master Legendary ni Muongo na shuhuda wa uongo ni lini ulipokutana face to face na mimi Jerhy, acha kuandika comments za kinafiki
 
Last edited by a moderator:
mkuu samahan japo sikutakiwa kuijibu...
lkn ujue kwamba sio kulaza tofali ni kujenga ghorofa......kama nguzo zipo imara unaweza simamisha au hata kuta ukajengea mbao
Mkuu Mushi bila samahani,humu Jf kilamtu anatakiwa kutoa mchango wake
Nashkuru sana kwa kunipa uelewa,unajua sie wengine mambo ya ujenzi ni zero.
Tunaogopa sana kujenga ghorofa hata simple kama hizo kwa kuogopa gharama za kulaza Tofali.
Hope umesaidia wengi
 
Back
Top Bottom