Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Mzee, I like these words of yours.Mi nilimuona Chenge akianguka kama moto kutoka Londonbelieve me even the mightier sometime fall
Mzee, I like these words of yours.Mi nilimuona Chenge akianguka kama moto kutoka Londonbelieve me even the mightier sometime fall
Aliwekwa kizuizini na nani maana alikuwa anapendwa sana na Nyerere pamoja na Samora, tena ni miongoni mwa waliokuwa viongozi wa TAMOFA - kwenye makabrasha kuna picha moja wako msituni na Samora kwenye meza ya mti!
Waberoya.that is my question, yes alipendwa na JKN, at the same time aliwekwa kuzuizini? maana hii ya kuwekwa kizuizini kuna member mmoja ali disclose hapa akihusisha Sheihk yahaya alipomuibia Mwakikagile document zake South Africa.
What is overlooked is the fact that he cited the source, the pdf file.
It's ridiculous to suggest that it would suffice with an internet address to a pdf file as source of reference in a book dealing with serious historical subject matter written by a Man of Letters of Mwaikagale's standard.
Addresses to files or other intellectual resources available on the internet are amended everyday and sometimes even deleted altogether, so citing an http address to an online publication would simply not meet the rigorous and specific requirements for acknowledging reference sources in an academic body of work.
Aliwekwa kizuizini na nani maana alikuwa anapendwa sana na Nyerere pamoja na Samora, tena ni miongoni mwa waliokuwa viongozi wa TAMOFA - kwenye makabrasha kuna picha moja wako msituni na Samora kwenye meza ya mti!
Nasikia Mkapa alimtumia vijana nyumbani kwake waliompa kipigo kweli kweli.Naikumbuka picha hiyo ya Jenerali Ulimwengu na Samora Machel. Ulimwengu alivaa vazi la kijeshi pamoja na kofia - a cap - kama Samora. Walikuwa kaskazini ya Mozambique kama ninavyoikumbuka picha hiyo katika liberated zone and under Frelimo control. Ilichapishwa pia katika gazeti la "Daily News" na mahali pengine.
Haukuwa ni uamuzi wa Nyerere kila wakati mtu alipowekwa kizuizini. Jenerali Ulimwengu amekorofishana na watu mbali mbali pamoja na watu wenye madaraka kwa muda mrefu. Kuna watu ninaowafahamu hapa Dar wanaosema Jenerali Ulimwengu is very arrogant, na wamesema hivyo kwa muda mrefu tangu alipokuwa mwandishi wa habari pale gazetini "Daily News." Na bado ana reputation hiyo. Hata anavyozungumza na watu kuna ambao wanao mwona kama ni mtu mwenye maringo na anayejiona anajua karibu kila kitu kuliko watu wengine. Niliwahi kusikia kwamba rafki yake Naijuka Kasihwaki pia ana reputation hiyo tangu walipokuwa wanafunzi, law students, pamoja Mlimani UDSM.
Jenerali hana reputation hata kidogo kama ni mtu mnyenyekevu au ambaye ni humble person.
Kwahiyo matatizo yake hayakuanza na Mkapa. Na ikiwa kuna viongozi na wana Usalama wa Taifa wanaotaka kukuweka kizuizini kwa sababu yoyote, huwezi kufanya chochote. Ndiyo maana wanaogpowa. Nakumbuka walikuwa wanaogopwa sana enzi ya Nyerere kwa sababu mambo yalivyokuwa enzi ile.
Hata Jenerali Ulimwengu mwenyewe anajua ana maadui wengi. Na si wanasiasa tu.
Joka Kuu,
Uria Simango alitaka kummaliza Dr. Eduardo Mondlane. Mondlane alipouawa February 1969, nadhani February 13th, wachache wetu kutoka Tambaza High School tulitembea na kwenda kwenye mazishi yake Kinondoni Cemetery. Uria Simango alizungumza kwenye msiba huo, kwa nguvu sana, lakini baada ya hapo, watu wengi waliona hakuwa na huzuni hata kidogo. Hata mimi nilimwona hivyo siku ile mchana. Na ilikuwa mara ya kwanza nilipomwona Mwalimu Nyerere akitoa majonzi hadharani. Yalikuwa kidogo tu na hakusema chochote siku hiyo.
Nakumbuka mke wa Dr. Mondlane, Janet, aliposimama pembeni pale kaburini na watoto wao wawili. Wengi wetu tulijaa na huzuni lakini siyo Uria Simango.
Yeye mwenyewe alimalizwa. Nilisikia Nachingwea na inawezekana makaburi yao yako huko kama nilivyowahi kusikia. Unaweza kuchunguza zaidi.
either ur is biographer au ndio we, mtu unawezaje kuwa na details zote za mtu mpaka kumbukumbu za picha zilizopo maktaba na habari zake za nje ya nchi anyhow its only my opinion.Naikumbuka picha hiyo ya Jenerali Ulimwengu na Samora Machel. Ulimwengu alivaa vazi la kijeshi pamoja na kofia - a cap - kama Samora. Walikuwa kaskazini ya Mozambique kama ninavyoikumbuka picha hiyo katika liberated zone and under Frelimo control. Ilichapishwa pia katika gazeti la "Daily News" na mahali pengine.
Haukuwa ni uamuzi wa Nyerere kila wakati mtu alipowekwa kizuizini. Jenerali Ulimwengu amekorofishana na watu mbali mbali pamoja na watu wenye madaraka kwa muda mrefu. Kuna watu ninaowafahamu hapa Dar wanaosema Jenerali Ulimwengu is very arrogant, na wamesema hivyo kwa muda mrefu tangu alipokuwa mwandishi wa habari pale gazetini "Daily News." Na bado ana reputation hiyo. Hata anavyozungumza na watu kuna ambao wanao mwona kama ni mtu mwenye maringo na anayejiona anajua karibu kila kitu kuliko watu wengine. Niliwahi kusikia kwamba rafki yake Naijuka Kasihwaki pia ana reputation hiyo tangu walipokuwa wanafunzi, law students, pamoja Mlimani UDSM.
Jenerali hana reputation hata kidogo kama ni mtu mnyenyekevu au ambaye ni humble person.
Kwahiyo matatizo yake hayakuanza na Mkapa. Na ikiwa kuna viongozi na wana Usalama wa Taifa wanaotaka kukuweka kizuizini kwa sababu yoyote, huwezi kufanya chochote. Ndiyo maana wanaogpowa. Nakumbuka walikuwa wanaogopwa sana enzi ya Nyerere kwa sababu mambo yalivyokuwa enzi ile.
Hata Jenerali Ulimwengu mwenyewe anajua ana maadui wengi. Na si wanasiasa tu.
that is my question, yes alipendwa na JKN, at the same time aliwekwa kuzuizini? maana hii ya kuwekwa kizuizini kuna member mmoja ali disclose hapa akihusisha Sheihk yahaya alipomuibia Mwakikagile document zake South Africa.
Nasikia Mkapa alimtumia vijana nyumbani kwake waliompa kipigo kweli kweli.
Waberoya.
Wewe umecomfyuzi mambo hapa. Aliyeibiwa makaratasi yake na Sheikh Yahya ni :Ludovic Mwijage. Yeye alihusishwa na njama za mapinduzi na kuwekwa kizuizini.
Dr. Eduardo Mondlane alizikwa Kinondoni Cemetery February 1969. Watu wengi walihudhuria mazishi hayo. Wanafunzi wachache kutoka Tambaza tulikuwa miongoni mwao pamoja na mabalozi, viongozi wa serikali, na wapigania uhuru kutoka nchi za Afrika Kusini.Dah! Hivi Mondlane alizikwa Kinondoni?
Si mchezo!
I hope one day details zote zisizofahamika kuhusu huyu jamaa na kitabu zake zitajulikana.Huyo Mwijage ameangaliwa vizuri sana. Na hayuko pekee. Kile kitabu chake hakikuandikwa na yeye tu, if at all. Kuna mengi sana kuhusu kitabu hicho - and who is behind it.
Waberoya.
Wewe umecomfyuzi mambo hapa. Aliyeibiwa makaratasi yake na Sheikh Yahya ni :Ludovic Mwijage. Yeye alihusishwa na njama za mapinduzi na kuwekwa kizuizini.
Ninavyofahamu aliyeibiwa document Swaziland (si South Africa) na Sheikh Yahya si Mwakikagile bali ni muandishi mwingine aliyeandika negatively kuhusu Nyerere, anaitwa Ludovick S. Mwijage kitabu kinaitwa "The Dark Side of Nyerere's Legacy", labda hayo majina ya Mwa... Mwa... na the fact kwamba wote wamendika vitabu on Nyerere yanawachangan watu
Kitabu chenyewe kinapatikana hapa
http://myafrica.wordpress.com/2006/09/11/the-dark-side-of-nyereres-legacy-by-ludovick-s-mwijage/
Uko kwenye denial wewe
Naikumbuka picha hiyo ya Jenerali Ulimwengu na Samora Machel. Ulimwengu alivaa vazi la kijeshi pamoja na kofia - a cap - kama Samora. Walikuwa kaskazini ya Mozambique kama ninavyoikumbuka picha hiyo katika liberated zone and under Frelimo control. Ilichapishwa pia katika gazeti la "Daily News" na mahali pengine.
Haukuwa ni uamuzi wa Nyerere kila wakati mtu alipowekwa kizuizini. Jenerali Ulimwengu amekorofishana na watu mbali mbali pamoja na watu wenye madaraka kwa muda mrefu. Kuna watu ninaowafahamu hapa Dar wanaosema Jenerali Ulimwengu is very arrogant, na wamesema hivyo kwa muda mrefu tangu alipokuwa mwandishi wa habari pale gazetini "Daily News." Na bado ana reputation hiyo. Hata anavyozungumza na watu kuna ambao wanao mwona kama ni mtu mwenye maringo na anayejiona anajua karibu kila kitu kuliko watu wengine. Niliwahi kusikia kwamba rafki yake Naijuka Kasihwaki pia ana reputation hiyo tangu walipokuwa wanafunzi, law students, pamoja Mlimani UDSM.
Jenerali hana reputation hata kidogo kama ni mtu mnyenyekevu au ambaye ni humble person.
Kwahiyo matatizo yake hayakuanza na Mkapa. Na ikiwa kuna viongozi na wana Usalama wa Taifa wanaotaka kukuweka kizuizini kwa sababu yoyote, huwezi kufanya chochote. Ndiyo maana wanaogpowa. Nakumbuka walikuwa wanaogopwa sana enzi ya Nyerere kwa sababu mambo yalivyokuwa enzi ile.
Hata Jenerali Ulimwengu mwenyewe anajua ana maadui wengi. Na si wanasiasa tu.
Tunatabia ya kuwa-lable sharp thinkers katika society yetu, Mtu ukiwa unafikiri tofauti, unatoa mawazo yako kwa uwazi, forcibly and confidently, tena kwa kuonyesha uelewa wa hali ya juu lazima uwe labelled, kama hivyo arrogant, anajiona, anajifanya mjuaji, ana kimbelembele, etc. Tunataka kila mtu awe kama sisi, akubaliane na mawazo yetu, asiongee sana kwenye vikao, akwepe vyombo vya habari, aseme mimi sio msemaji, aunge mkono wasemayo wakubwa kama haungi mkono anyamaze kimyaaa, kwa kifupi awe goigoi kama sisi, then ataonekana mtiifu, mnyenyekevu, ni mwenzetu-hili ndilo lililomshinda Ulimwengu, na sishangai kwamba anapewa labels zote hizi=hivi ndivyo tulivyo-shame on us!