Ewura wanashiriki ucheketuaji wa mafuta ya petrol/diesel

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Ndugu wapendwa kwa mlioshiriki kumuona jana mkurugenzi wa ewura kwa masikitiko napenda kusema ewura wanachangia kiasi kikubwa kushiriki kucheketua mafuta ya magari

kwa masikitiko makubwa waliosoma magazzeti rwanda wamerudisha magari zaidi ya 18 kwa kushiriki kuchanganya na mafuta ya taa..kwa bahati mbaya magari yale yakashtukiwa.alipoulziwa jana mkurugenzi alianza na uswahili kabla ya kubanwa na kukiri yawezekana ucheketuaji upo

sikuamini mkurugenzi mzima anasema yale magari yawezekana yamecheketuliwa kule rwanda ili kutuchafua..embu jiulize huyu bwana anakula ngapio na hawa wacheketuaji mpaka anawatetea hivi..akabanwa na bw lusekelo gari zinaingia na sil..zilipofika zikafunguliwa tena baada ya kutonywa ..waliposhtukia wakayarudisha ewura kwa kushirikiana na wenye magari shame mkurugenzi anadai kweli yalikuwa machafu ila imeonyeshwa mpaka yanawekwa kwenye gari yalikuwa mazima na yana sil..so hiyo kuchanganywa na kufika yana sil..inamchanganaya ..akaambiwa walipochungulia wakashtukia waliweka tena sil hiyo ni sheria ujui..iweje unadanganya yamecheketuliwaje yakiwa na sil....akaanza itakuwa kati ya ....mpaka......ambapo alipotaja kote ni ndani ya rwanda...

Pili
mkurugenzi ciril una taarifa kuna wafanyakazi wa ewura wanalipwa mishara kwenye baadhi ya shell zinazochanganya kila mwezi na zingine uwapelekea wakubwa wao...kumradhi kama na wewe upo kwenye salary list ya shell..fwatilia

tatu
inatia aibu rwanda kuwajulisha ewura sehemu za tanzania zinatumika kuchakatuliwa..kwa bahati bw mmoja anaitwa zakaria akakiri uo uchafu upo na sehemu zinajulikana ewura tumewaambia akuna action si tufanyaje??

Nne
mkurugenzi wa ewura unasikitisha kusema hii kazi ni nzito..ni vigumu kumkamata mtu...labda nikusaidie kwa hili...katika magari 18 yaliokamatwa 10 yamemetoka kwenye kampuni mmoja ya mount meru ya arusha..akuna asiejua uchafu wanaofanya hawa mabwana ..watu wako walikuja arusha wakaishia kufunga vituo walipopewa takrima watu wanachanganya kama kawa

kwa wasiojua hili.....

Magari ya rais yamegoma kuwaka kutokana na mafuta ya mount meru..na yule mwenye shell samahani kwa kutoia siri alipobanwa akadai ana chata ya total na huwa anatumia mafuta ya total..siku hiyo total awakuwa na mafuta akaomba ya mount meru...na walipofika walikuta kweli lori moja la mount meru liko kwenye fence wakati shell ni ya total..kwa masikitiko mwenye sehemu ametishiwa kutopewa kabisa mafuta na total kwa kuchafua jina lao...sasa wewe mkurugenzi wa ewura unasema nini huku wanaochanganya mnawajua mnaenda kuvuta mchango kila mwezi huku magari ya waungwana yakiaribika..ghamad nashukuru kwa hili kukmkuta rais ndio mnaona ati amejifanya kuongeza adhabu...chama kimoja cha mafuta kama mlimeona jamaa aliekuwa na suti nyeusi itv alilamika walitoa pendekezo la adhabu kali akasema zilipofika ewura wakadai tutawamaliza watu kwa hili wakapunguza ati million 5..then 25,,then bblllaaaabbllaaaa too much politics

mkurugenzi wa ewura siku ukisikia unaitajika kwenye tv jipange utaaibika..bora useme unaumwa usinende kujibu uozo kama ule..ati wenye mafuta hii kwao ni hela nyingi sana..sana tunawamaliza jamani...tueleze vile vituo mlivyofungia mkagungua alafu leo hii bado yale matanki wanayochanganyia mafuta bado yapo vituoni si upumbafu huu??mzee siril embu angalien vyema hili...tuhurumieni jamani

tano
yale mafuta yaliorudishwa inasemekana yamerudi kwa wenye magari so inamaana tanzania na magari yetu si ndio tunafaa kupewa mafuta ya kuchakatwa sio??mzee embu tuambieni nyie mnajua shell zisizo changanya mnapeleka magari yenu tupeni zisizochanganya
 
Back
Top Bottom