Everton yakatwa pointi 10 kwa ukiukwaji wa Kanuni za Fedha za Premier League

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Timu ya Everton imekatwa pointi 10 katika Ligi Kuu ya England (Premier League) kwa kosa la kukiuka Kanuni ya Fedha (Faida na Uendelevu), hali ambayo ilitokea katika Msimu wa 2021/22.

Baada ya kutangazwa kwa adhabu hiyo, uongozi wa Klabu ya Everton umesema utakata rufaa kwa kuwa adhabu hiyo imewashtua na imekuwa kali licha ya kudai waliwasilisha vielelezo wakati wa mchakato wa kesi hiyo ya ukiukwaji wa Kanuni.

Kutokana na adhabu hiyo Everton ambayo ilikuwa na pointi 14 ikishika nafasi ya 14.

============

Everton: Club deducted 10 points for Premier League profit and sustainability rule breach

Everton handed heaviest points punishment in Premier League history; club "shocked and disappointed" by ruling and will appeal; Everton plunged into relegation zone; Sky Sports News understands the charge related to interest payments on the cost of building the club's new stadium.

Everton have been deducted 10 points with immediate effect for a breach of the Premier League's profit and sustainability rules.

Everton say they are "shocked and disappointed" by the ruling and have vowed to appeal.

"Both the harshness and severity of the sanction imposed are neither a fair nor a reasonable reflection of the evidence submitted," said the club.

The deduction, which was meted out by an independent commission and will be imposed with immediate effect, is the largest in the history of the Premier League and plunges Sean Dyche's team into the relegation zone.

According to the Premier League, Everton admitted during a five-day hearing it was in breach of the league's profitability and sustainability rules (PSR).

The commission determined that "Everton's PSR calculation for the relevant period resulted in a loss of £124.5m, as contended by the Premier League, which exceeded the threshold of £105m permitted under the PSRs."

After narrowly avoiding relegation to the Championship last season, Everton were - prior to their points loss - 14th in the league table, eight points above the bottom three.

Only three clubs have previously been docked points in Premier League history. Middlesbrough were deducted three for failing to fulfil a fixture against Blackburn in 1996/97, and Portsmouth were stripped of nine after entering administration in March 2010.

Tottenham were handed a 12-point deduction before the 1994/95 season for financial irregularities committed several seasons earlier, but that punishment was initially reduced to six points before eventually being revoked.

Everton's next match following the international break is at home to Manchester United on November 26, live on Super Sunday - kick-off 4.30pm.


======

F_IoR2iWsAA2RG6.jpeg

Source: Sky
 
Bonyeza link hiyo kujiunga 👇👇👇👇👇👇👇
Umekata tamaa na Betting na ujui njia gan utumia kupata pesa kwajili ya kukupa Ada, KUNUNUA nguo, nakulipa Kodi ya nyumba inbox nikuunge watu wengi walio jiunga wameanza kuona faida ya kubet mtaji wa 1,000 unatosha kabisa
 
Michezo inayofuata ya Everton hata cheza tena kwa moyo maana matumaini yameshapotea kwenye premier league poleni sana Everton maana ni kama mnaaga mashindano
Mkuu hao majamaa hawatakata tamaa,sio wabaya vile points 10 hawezi kushuka daraja,mechi zinazofuata kwa walio mkiani wao ndo wana mpinzania nafuu, wakishinda wanakuwa wanne kutoka mwisho,ligi bado
 
Nimechungulia msimamo kumbe wameshakatwa tayari naona yuko wa 19
Nimeangalia naona hawezi kushuka timu za chini wachovu sana
Everton hawashuki na mashabiki zao wanashauri viongozi wasikate rufaa maana wakishindwa points za kukatwa zinakuwa 15 na siyo 10 tena, hao majamaa hawashuki ni wazuri kuliko hao wa mwisho kina Sheffield, Luton au burnley
 
Unatakiwa ufahamu Juventus sio Everton kuanzia uwekezaji, miundombinu hadi wachezaji
Sawa lakini hizo point zimekatwa everton alikuwa na points 14, sasa hivi na hao wa mwisho wamepishana point 1, sasa everton na hao kina luton na sheffield nani wana ubora
 
Back
Top Bottom