Even Prof. Ndalichako is far better than Samia

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
I don't want to mention Dr Dorothy Gwajima. Ndalichako is strong than mama Samia.

She can say something loudly for people to work up, no body is telling it, but she is visionary.

Samia is there just by coincidence but in reality she's not supposed to be. Such uncompetent leader you can't imagine to give her power to lead a poor national like Tanzania.

There are many powerful women than her for this position. Just to mention Prof Ndalichako.
 
Samia alihitimu kidato cha nne akawa secretary. Unategemea nini hapo, hivi ulishawahi kukutana na waliosoma secretarial management waliohitimu kidato cha nne?

Ndio haohao sasa uwatoe uwapachike shirika la wazungu wajue Kingereza kidogo, wasomesome wapande vyeo kwa kupendekezwa kisha mmoja awe makamu, Rais afe na ndio huyo mama awe Rais. Hivyo tu yani
 
Naona kuna group matata limejipanga kumtukana mama!! Naona mmepangwa kwamba mshambulie kwa pamoja hapa!!

Madam President waangalie sana wasaidizi wako kuna uwezekano wamejipanga kukuangusha!!

Unafanya vyema kwa kiasi chako ila wenye uchu wa madaraka wanapigana kukuangusha!
 
Back
Top Bottom