Evelyn!!! Siku saba ngumu zaidi nilizowahi kuzipitia maishani

Siungi mkono jamaa alivyomalizana na Ever but wote wana makosa.

1. Ever..alikosa utovu wa nidhamu kumleta ex nyumbani kwake, wagombane hadi majirani wajue huu ni udhalilishaji mkubwa kwa mwanaume unayeishi naye.

2. Hapakuwa na sababu ya kumtuma mwenye nyumba kupiga kufuli mlangoni.
Udikasirike kiasi cha kuutweza utu wa mtu kiasi hicho.

3. Haikuwa busara katikati ya sakata bichi ulipe kisasi kwa kuingiza mwanamke mwingine, hii inaweza kuleta maafa.

4. Likikupata jambo zito, jitahidi kujipa muda wa kufanya maamuzi, ukuwa na hasira mbichi kamwe huwezi kufanya maamuzi sahihi.
Kweli hata mimi nimeona kuna maamuzi aliyofanya sio sahihi.
Kwa mfano alimkuta mwanamke anaishi kwake na ana maisha yake, baadae akamlazimisha ahame hapo kwake alafu baadae anakuja kumdhalilisha kwa kumfungia nje na bado kumtolea vitu nje
 
Kweli hata mimi nimeona kuna maamuzi aliyofanya sio sahihi.
Kwa mfano alimkuta mwanamke anaishi kwake na ana maisha yake, baadae akamlazimisha ahame hapo kwake alafu baadae anakuja kumdhalilisha kwa kumfungia nje na bado kumtolea vitu nje
Chief, ukiwa na maumivu na hasira, unaweza fanya mambo ambayo baadae unajilaumu.
 
frester hapana. Hii kampuni sikuwahi ipenda, hawana mashirikiano mazuri kwenye kazi. Zuberi nilikuwa nawakubali sana. Hadi sasa njia ya kahama to mwanza zuberi yuko vizuri hata maslahi kwa wafanyakazi. Kwa ufupi, zuberi amemtia adabu frester.
Sawa chief
 
Wewe jamaa utakuwa na stress za maisha. Ndio maana unakazania mara ushamba, Mara kumaliza hela as if kila hela zote nilizokuwa napata namkabidhi, hata kama ningekuwa namkabidhi zote, shida yako nini?, mara kuja mjini mkubwani. Dalili zozote za stress na wivu wa maisha.

nikusaidie tu, kuweka context sawa,

hakuna hela nilispend kwa Evelyn iliniuma sababu haikuathiri maendeleo yangu kivyovyote.

kilichoniuza ni kukosa uaminifu wa kimapenzi, ambayo kwangu haihusiani na pesa.
Jibu zuri sana
 
WEEKEND PAMOJA
...kusubiri miadi na mwanamke ni kazi ngumu. Muda hauendi.

jumamosi, tulichukua vitu viwili vitatu anavyohitaji. Hapa nilifanya jambo moja kwa makusudi.

Mwamnange ni iko mkoani tabora. Ni mwendo wa takribani saa 1 kutoka ulyankulu (au makazi-iliyokuwepo makazi ya wakimbizi wale wa miaka ya 50, 70 kutoka rwanda na burundi). Kule mtandao ni shida, ni halotel tu ndio inafanya kazi na ni 2G. Yeye alikuwa na Voda na airtel. So sikutaka kumuambia. Lengo asiwe hewani. Ila nilimuambia amtaarifu dada yake. Ukienda na binti wa watu sehemu, ni vyema hata ndugu yake awe anajua. Usalama.

Tulifika mwamnange mida ya saa 4 usiku.

baada ya kupaki, nilimuambia tukaoge ndio tukatafute chakula. Lengo nikate utepe. Hawa viumbe miili yao imeumbwa delicate, anaweza hata akajigonga akaingia period.
Baada ya kuoga, nadhani hata yeye hakutegemea. Kwa ghafla, Nikakamata na Kuanza kazi. Nilikuwa na ndomu, lakini niliuza mechi. Hata ungekuwa wewe, usingethubutu kwa namna lile tunda lilivyokuwa ule na maganda yake.
Hapa ndo umenikosha unatakiwa uwe kama Van damme kila scene unakula nyapu usiwe kama jack chen kucheka na wachumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom